mdau ashraff wa newala anafanya muziki wa kibongo na ana vibao viwili ambavyo anazungumzia vitu vizuri vizuri vinavyoipendezesha bongo, akiwa amejaribu kuwapa changamoto wabongo kujivunia vitu vya kwao zaidi ya kuisifia jamaica kwa saaana (kitu mbacho anasema hakimvutii kabisa). msikilize hapa www.myspace.com/maundibross

ila si vibaya ukachungulia hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Brain_drain kuona jinsi umwagikaji wa bongonangai unavyowaliza wengi kila mahali na sio bongo peke yake....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. huyu dogo michosho ye anasema wabongo wajivunie vya kwao mbona ukiingia kwenye profile yake ya my space kapiga picha na t-shirt ya jamaica na ukisikiliza nyimbo zake zina beats za watu wa state mi nadhani mshikaji aseme mambo kwa vitendo

    ReplyDelete
  2. JAMAA MKALI,KAJITAHIDI SANA KWA WIMBO WAKE HUO,NIMEUONA WIMBO HUO,KAPENDEZA SANA NA PAMBA KALI,NYIMBO INA BITI NZURI NAYE KAJITAHIDI KUCHANA FRESH ILA WALE MADEM ALIO CHEZA NAO NDIO WALIO MUANGUSHA,ATA HIVYO MPANGILIO WA YALE ALIYO KUWA ANAIMBA HAYA KUWA YANAENDANI VIZURI KWENYE ZILE BEDI ZA KWANZA,ILA KWENYE BETI ZILE ZA MWISHO ALIJITAHIDI,MFANYO ALIVYO KUWA ANA SEMA "DEM WA KIBONGO ANAVYOKATA KATA,RUKARUKA"kweli tulimuana akikata na kuruka tofauti na mwnzo.Big up,keep it up.
    chrizo

    ReplyDelete
  3. AMECHANGANYIKIWA HAJUI ANACHOKISEMA. MUZIKI WA NCHI FULANI NI MANENO YA LUGHA YA NCHI HUSIKA AU NI MPANGILIO WA MLIO WA VYOMBO VYA NCHI HUSIKA? Hivi nikiimba wimbo wa Sean (Beautifull Girls)kwa kwiswahili utakuwa ni wimbo wa utamaduni wa mtanzania?

    ReplyDelete
  4. Hana lolote michoshoo tu..mashauzi kwa wingi, yeye ashraf misalaba ya nini? kaniboa!!

    ReplyDelete
  5. Na mimi namuunga mkono Anonym wa 5:48.Nimeingia katika myspace yake nikaona yeye anawakilisha Rap ya States.Huo ni unafiki!.Acheni jamani mziki wa watu weusi ni wetu wote.Ukitaka kufanya Rap fanya,ukitaka kufanya Reggae fanya ila unafiki acha.Kwanza Reggae ndio iko karibu na asilia yetu sisi Waafrika tangu Slavery days.wake up!

    ReplyDelete
  6. Michuzi, siyo lazima upost matangazo yote kwenye blog yako, blog yako ina heshima sana kwa hiyo watu wanaofanya utani naomba usipost matangazo yao. huyu jamaa anachukua beats za watu and then anaimba bila hata ya mipanglio, this is a joke man. akitaka a-win, lazima awe creative, kitu alichofanya kila mtu anaweza fanya...this is BS man.

    ReplyDelete
  7. Sasa huku kuva gani jamani?macheni na mapete yote hayo ya nini?kwani angeaa kiasi ingekuwaje?anaboer kusema kweli hata kumuangalia inatia hasira!!

    ReplyDelete
  8. Wabongo, 4 once inabidi tuache Majungu kwa sana. Kuna maoni mengi yakusema ili kumsaidia kurekebisha mziki wake. Hii ndio tofauti yetu na nchi nyingine zilizoendelea. Ndo maana sanaa ya bongo haitoendelea kama watu wanakua bize Kubwabwaja na kupaka kuhusu kasoro zaidi ya kutoa maoni yatakayo rekebisha na kuwapa moyo wasanii kufanya vizuri zaidi.

    ReplyDelete
  9. Ndio ndio ndio... Demu wa kibongo ananifanya nichukie jamaica!! Dogo noma. Kwahiyo acheni majungu wa bongo, thats a fun song, so U guys need to loosen up and have fun.

    ReplyDelete
  10. We LOve U Ashraff. Keep Doing Yo thang bro. And just forget abt these haters.

    ReplyDelete
  11. Waungwana hebu punguzeni spidi, sio mnapayuka payuka tu. Mziki wa tanzania tokea enzi na enzi tumekua tukiiga style za mziki wa nchi mbali mbali. Mziki wa dance tumeiga Kongo. bongo flava na rap tumeiga wamarekani. Kwahiyo inakuaje mnamng'ang'ania dogo koo? Nyie ndo inabidi muache UNAFIKI.

    ReplyDelete
  12. Waungwana hebu punguzeni spidi, sio mnapayuka payuka tu. Mziki wa tanzania tokea enzi na enzi tumekua tukiiga style za mziki wa nchi mbali mbali. Mziki wa dance tumeiga Kongo. bongo flava na rap tumeiga wamarekani. Kwahiyo inakuaje mnamng'ang'ania dogo koo? Nyie ndo inabidi muache UNAFIKI.

    ReplyDelete
  13. Waungwana hebu punguzeni spidi, sio mnapayuka payuka tu. Mziki wa tanzania tokea enzi na enzi tumekua tukiiga style za mziki wa nchi mbali mbali. Mziki wa dance tumeiga Kongo. bongo flava na rap tumeiga wamarekani. Kwahiyo inakuaje mnamng'ang'ania dogo koo? Nyie ndo inabidi muache UNAFIKI.

    ReplyDelete
  14. Big Up Dogo!! We kaza msuli tu wenyewe watakukubali.

    ReplyDelete
  15. He is CUTE

    ReplyDelete
  16. kaka, video iko poa, ope uko na thanks givin poa, endelea kuroga vilivyo,

    ReplyDelete
  17. Yeah Ashraff.. Mwaga Nyuki mazee!! Hilo ni dude la Club Kabisa hilo!!

    ReplyDelete
  18. This is Mrs Ashraff to be.

    ReplyDelete
  19. Nyimbo mbona imetulia? Hata mesej yake mbona ipo kwenye point?

    ReplyDelete
  20. Dogo endelea kukamua tu. Mi nimemaind Video

    ReplyDelete
  21. Sina mengi yakuongezea, ila namshauri dogo kutokukata tamaa kwasababu watanzania wengi hawana utamaduni wa kusapotiana.

    ReplyDelete
  22. kijana kafunika mbovu, acheni unafki wabongo.

    ReplyDelete
  23. da mzee umelipuka si kitoto. poa basi keep it up my man

    ReplyDelete
  24. nini zaidi ya kusema yimbo ni nzuri. imekaa poa babake. endelea kuwaakilisha kama kawa.

    ReplyDelete
  25. wana choga sana juu yako achana nao, wanapoka pote juu yako achana nao. we engelea tu kukamua. usi give up.

    ReplyDelete
  26. nyimbo iko poa, video dio usiseme mademu wakali, pomba umezinyuka. dogo umejitahidi.

    ReplyDelete
  27. nyimbo imeturusha tuategemea viu vizurivizuri kutoka kwako.

    ReplyDelete
  28. Ni bora airushe hii for funny tu lakini akijaribu kuiuza wenye bits zao watamsue kikwelikweli.

    ReplyDelete
  29. huyo mtu anaeandika comment za kumfagilia huyu dogo ni mtu mmoja anafanya kurudia tu,ukiangalia tofauti ya muda kutoka nov,23,6:47pm mpaka nov,23,7:00pm utagundua kwamba ni janja ya nyani usitufanye watu wajinga.

    ReplyDelete
  30. KEEP IT UP MY BRO. UMEFUNIKA BOVU. WABONGO MTAKUFA NA VIJIBA VYA ROHO

    ReplyDelete
  31. Hey Ashraff achana na hates nyimbo imetulia. Na wale mademu ulionao kwenye nyimbo yako ni wazuri na ninajua mziki wewe uimbii shida just for fun keep going brother. Wewe sio kina fulani wanategemea mziki, na pia pamba zimetulia hao wanaozisema jua hawawezi kuvaa kama wewe, mbona wanamziki wangapi wa bongo wanaiga fashion za nje watajiju. Muhidin naomba uiweke comment wako maana tumechoka na hates.

    ReplyDelete
  32. Inaonekana mtu mmoja alikuwa anatuma message ili kumsifia huyu jamaa, inawezekana ni yeye mwenyewe. Kaka Michu kumweka huyu jamaa unazua balaa mtani wangu.

    Kijana inabidi afanye REALITY CHECK, naona anatafuta umaarufu, sawa ngoja nimpe title "AL-MAAAAARUF"! HALO HALO

    Ushauri wangu dogo rudi kusoma, fani ina wenyewe. Kaza buti kwenye kusoma ndugu ili upate kazi ya maana. Usiishie kwenye mabox na madukani!

    ReplyDelete
  33. Hivi nyie watu ni vichaa? Yani ushauri wenu mkubwa mnaoweza kumpa huyu kijana ni kuacha mziki. Mnajaribu kumkatisha tamaa. Dogo hii ndio shule, inabidi ujue ni jinsi gani Watanzania wenzako walivyo tayari kukuangusha kwa njia yeyote ile. and Dont ever in yo life be a quiter(kwa watu wote wenye roho ya sumu, A Quiter ni mtu anae kata tamaa na kugive up upesi) As long as unafanya mziki wa bongo, tegemea kupata madongo mengi zaidi ya pongezi. Maana kuna watu spaecial ambao wanatumia Michuzi blog kupondea watu tu. Kama huamini nenda ukacheki comment watu walizoweka kwenye album ya A.Y. Nandhani watakua ni hawa hawa walioweka comments za unafiki hapo juu. kwanini msiende kutafuta kazi za kufanya ili mjenge taifa?

    ReplyDelete
  34. Ashraff tupe raha huyo anayekwambia urudi shule usiishie kubeba mabox. Kwanza akujui anaongea vitu asivyovijua wewe mziki kama fun tu, anadhani wewe mziki unaimba kwasababu ya kupata pesa kwa bado mdogo unauwezo wakufasha vitu vingi. Hao watu wanaokuponda kila siku ndio kazi walizonazo, we love u Ashraff nazidi kushine uwaumize wenye roho mbaya.Wabongo ukifanya vizuri watasema ukifanya vibaya watasema.

    ReplyDelete
  35. you guys are not serious. Ni heri muwe simon cowell wa amrican idol aelewe mapema....kwa ushauri mfupi ni heri uandike miziki labda lyrics zako ni nzuri .

    Hapo sijaona muziki wowote zaidi ya kucopy sauti na bits za mtu mwingine na kuweka maneno yako..not good not good at all.

    Tusidanganyane..Na kama unaweka kitu public expect na respect opinion za watu ...hamna hater kabisa hapa..ila watu wanaangalia na kueleza maoni yao. ndio maana sio wote wanauza nyimbo zao platinum...watu mkikalia wabongo haters basi mnataka tupalilie hata kitu kisicho na quality. bila kukosolewa na kuelezwa ukweli utaishia mitaani tu

    Naomba kuwakilisha

    ReplyDelete
  36. Duh huyo jamaa hapo juu ni noma. jamaa hadi kapata muda wa kukaa kufuatilia comments zimetumwa saa ngapi. Mi nampa ponngezi huyo msela. Hii inaonyesha ni jinsi gani watu wan muda wa kukaa kwenye computer zao. Big Up

    ReplyDelete
  37. According to wht I C, Inaonekana jamaa anafanya mziki kwa fun. Na hiyo sio mbaya, ila kama anataka kufanya kama business inabidi awe more origional. But U never kno, tumesikia nyimbo yake moja tu, labda ana kazi nyingine. But anyways, dogo just take the good opinions and leave the bad ones. U dont have to listen to wht every single person is saying. Coz some of the comments posted really doesnt make any reasonable sense. good luck.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...