baada ya kupiga senyenge ungetegemea wahusika wanaonyima walipa kodi uhuru wa kufaidi bichi ya posta mpya kwa sababu wanazojua wenyewe angalau basi wangepaweka mahali hapo pasafi na pa kupendea, lakini hali ilivyo ni kinyume....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyo aliyetoa amri ufuko utiwe senyenge anachafua roho na hastahili kabisa kuwa na wadhifa nchini.Maana hayuko hapo kwa ajili ya wazalendo.Hajui hata kutumia vyema maliasili tuluyojaliwa.

    ReplyDelete
  2. na muunga mkono hapo juu anonymous, huyo alietoa hiyo amri ya kuzungushia sengenge, if i was me ningemfunga jela kusudu aelewe kuwa wazalendo wanahitaji mazingara yao kama zamani muhimu kuwe na ulinzi,na sio ulinzi wa kuwasumbua wazalendo halafu wadosi na wazungu wanatembea bila kusumbuliwa.tujipende jamani kama wenzetu!!!
    msononeka msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...