
Wabongo wote waishio marekani karibu na kansas city kazi kwao party ya nguvu inakuja kuwashika wakae tayari
Perfect View Entertainment
PRESENTS TO YOU AFRICAN BONANZA
This is a big Party and it will be every Sunday
on I-435 & METCALF
behind HOOTERS in overland Park
-Kansas.
From 9pm To 2pm
Dont miss it
There will also be NYAMA CHOMA kwa wingi sana!!!
Check out the flier or Call 913-563-2578


Hayo ndio mlioendea!Ama kweli wazazi wenu wafa njaa huku nyumbani lakini,nibora mfikirie na kuchangishana hizo fedha za kubeba mabox na kuzileta pia.
ReplyDeleteNawapongeza kwa kuishi ughaibuini lakini mpakumbuke nyumbani msipitilize kwenye party tu,na jua ni jadi yetu waafirika kucheza mgoma za usiku hivyo mkiwa huko ngoma zageuka party
Mhhhhh!!!!!
ReplyDeleteWasiwasi wangu ni kwamba hamchelewi kuuana sasa hivi,mara fulani kapigwa kisu,sijui ni hasira za kubeba box ama nini
NYIE WOTE MNAOKANDIA MMECHOSHWA NA JOTO LA BONGO..SIAJABU HATA PASI HAMNA BASE NENDENI HATA KENYA BASI KWA MAANA HAKUNA VISA... SISI HUKO TUTAJICHANGANYA KWA MAANA PESA TUNAYO HATA KAMA NI YA KUBEBA MOBOKSI....WE KAUZE MAMA NTILIE PALE POSTA YA ZAMANI
ReplyDeletekasera
kansas city and i am proud of it
Nyie mliopo bongo mtasema sana,jua lita wachoma kwa saana,ukata kwa sana,kimwi nalo ndio kama vile,kazi kukaa vijiweni tu,uchovu mtupu!!!Wacha vijana tujipe raha.
ReplyDeleteAm living In USA but under Government Sponsorship,lakini mtu akiniambia nibakie hapa,sikubali hata kibaru coz I've face range of racism with tedious job.Mimi bwana nawambia wenzangu tunaoishi huku tusidharau nyumbani,labda kama huna mbele wala nyuma.Believe me East and West home is Best,asikwambie mtu bwana.Hivi ni kwa nini utumwa wa nje unatuendesha namana hii.Lazima tukue jamani,sioni sabau ya kuwakandia vijana walio nyumbani bali yatakiwa tuwaelekeze mara wanapopotoka na kuhama nje ya msitari.
ReplyDeleteHizo party za wabongo USA siku hizi ukienda ni roho mkononi. Kazi kupigana na kuchomana visu. Watu kwa kujidai wanaingia na magari ya fahari ya kukodi kutoka Enterprise Rent-a-Car huko wameazima nguo na viatu. SHOW OFF PARTIES!
ReplyDeleteAMA KWELI WABONGO KWA MAJUNGU NI NOMA YAANI WATU WANAPIGA MAJUNGU HADI TANGAZO???
ReplyDeleteDUH HIYO KIBOKO
....................eddy