Wadau,
Jamani mi naitwa Ben namtafuta rafiki yangu aitwaye David Ntinginya nilisoma nae Jitegemee Sec School miaka ya 1994, 95 tulikua wote kenye special class la Mwalimu Masemele.Kama umepata ujumbe huu naomba nijibu kwa kutumia email bizinfos@hotmail.com
Ahsante Michuzi in advance.
Ben


Toa Maoni Yako: