Home
Unlabelled
dully sykes
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya huyo Dully Misifa anakuja huko kwenu, yule jamaa yuwapi ampe masahairi ya Kizungu na Dully alivyo ukimpa mashairi anaimba hapo hapo na kurekodi hangoji kufanya mazoezi wala nini kwa misifa yake.
ReplyDeleteTunataka akirudi awe amesharekodi singo moja ya kidhungu! Ibakie kutangazwa tu tutest zali! Ili na wengine nao wafuate mkondo wa kuimba kwa kidhungu.
Mumtafute na Marlow naye na wimbo wake wa Bembeleza auimbe kwa kidhungu itakuwa poa!!
Akitoka huyo Masanja mkandamizaji na wimbo wake wa Ugali afuate!!!
Lakini Bodea kaimba sijui nini kwa kizungu na Mez B naye ameimba wake kachanga kwa kiswahili unaitwa "Ntafikia Malengo" hata siwaelewi ameimba nini.
jamaa wamekaa ka wapiga debe wa daladala
ReplyDeleteDully namfagilia sana. For sure miaka michache sana ijayo atakuwa mwanamuziki wa kimataifa. Napenda jinsi anavyoweza kuitumia sauti yake pamoja na mwonekano wake kimuziki. Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Katuwakilishe Dully. Kibao cha Baby Candy kimebamba kinoma
ReplyDeleteTehe! tehe! kama wana wasikinde ngoma ya ukae!
ReplyDeletehasa ngwea hizo pamba ni za mazoezi na si za stejini
Mimi Muistizuu Tyler Texas
Na huyo promota asilete ujinga wa mapromota wa mamtoni, fake promoters. Sisi tunataka mapromota wenye kuendeleza vipaji sio mapromota feki. Mtu unajiita promota kumbe deejay tuu, hujui upromota nini yaani 'promota jina'.
ReplyDeleteNa tumeona anakwenda Holland, Germany na Begium. Siku tunayo moja tuu ya Holland, je hizo za nchi nyingine ziko wapi. Tunataka kujua? Sio mnatupiga mchanga wa macho!
Ukiachilia mbali misifa anayoipenda Dully ni moto wa kuotea mbali katika fani. Mimi namfagilia when comes to the time of entertaining people.
ReplyDelete