Home
Unlabelled
emmily adolph
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa Bro Michu naona unatutafuta maneno kutuletea picha kama hii. Mimi sisemi neno nangoje comments kutoka kwa wenzangu.
ReplyDeleteKwa kanuni za uchambuzi na unusaji wa habari, hata kama habari ya Emmily ndiyo imetangulia, hapa habari ni ya Richa na si ya Emmily.Kwa kanuni hiyo hiyo tunasema si kila atanguliaye polisi ndiye mwenye haki!!
ReplyDeleteOED
Nyakatakule
michu nisaidie kwani hii picha imeleta mabishano tunaomba majina ya walioingia kwenye top 10 ya wakati wa aina maeda halafu, nipe majina yote ya walioingia siyo wakati wa Emily ni wakati wa Aina aliposhinda taji.
ReplyDeleteThks
mmh!!! kakondeana..we acha tu!
ReplyDeleteAnony wa 3.56, mimi nawakumbuka top 4. Alikuwepo mwenyewe Aina Maeda, Lucy Ngongoseke, Doto Abuu, Miriam Ikoa. Nafikiri pia kuna msichana alikuwa akiitwa Nzota na mdogo wake Eunice, ah wengine sikumbuki.
ReplyDeleteWewe michuzi usitake kutuchanganya kabisa. Huyo RICHA unayetaka tumuoombee ashinde si angeeenda akawakilishe nchi yao ya INDIA kwenye hayo mashindano? Au siku wahindi walipokusanyika pale Karimjee kumpongeza wewe uliona katika ule mwaliko alikuwepo mtanzania hata mmoja au ndio unataka tena kutukumbusha madudu ambyo tulikuwa tushasahau? Chunga sana bwana!
ReplyDelete