niko zenj...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Haya kaka michuzi unaonge na nani tena???Mmmmm!!!!

    ReplyDelete
  2. kaka tafadhali hebu cheki samaki pweza, chuchunge, kibua, kolekole, numbi, changu, tasi, kamba, na wengineo wengi huko, then jaribu kupata ladha then utu inform yupi ni ze best, hayo mambo ya samaki yananikumbusha mbali sana, kiasi kwamba natamani ninge join nawe huko kwa kazi maalum ya kula mikia ya samaki tu

    ReplyDelete
  3. Kaka huyo MGANGA uliyempata, ALIYEKUTENGENEZA mpaka ukapata hiyo BINGO unayotanulia hivyo, katu usimuachie.
    Maana mara uko Kampala, mara Ngurudoto, mara Zenji. Mweeh!
    Hongera Kaka.
    Ukitoka huko nenda na kwetu MTWARA bwana. Sio unakunyanyapaa bwana!
    All the best

    ReplyDelete
  4. kwa kweli mimi michu nakukubali sana, unaenjoy sana na kazi yako, wewe ni fulu mzuka daily unakula pipi tu mtu wangu,unaizunguka dunia tu mtu wangu, fulu kukubalika halafu mwenyewe bonge la mtu hujui kuchukia, personally nakukubali sana.

    ReplyDelete
  5. Michuzi nawe umezidi, maana hii blog umeanza kuifanya personal album photo. Mbona kuna mambo mengi ya kijamii yanayotokea hata hapo ulipo kwa nini usipost hayo. Maana karibia wiki hii yote tumekuwa hatukosi picha zako humu. Jifunze kutoka kwa mwanablog mwenzako Mjengwa.

    ReplyDelete
  6. Thanks to be here in Zanzibar
    tukuone wapi naunapatikana wapi tuweze wakilisha mada zetu mbalimbali
    And for how many days u'll be here in ZNZ??

    ReplyDelete
  7. Halooo Amiii Haji Makame yupo Hapo! Ka Hayupo Naomba Ongea Na HAloo! Mwatatu au Faki Jumaaaaa! Manake Mie Niko Unguja Na ntaka kuja Chakechake hukooo ndugu yenu Issa Michuzi hapa mie Mnzazibara.

    ReplyDelete
  8. Michuzi, mbona unasafiri sana, wewe ni shushushu nini?

    ReplyDelete
  9. Wasalimie Zenji kaka Michuzi.

    ReplyDelete
  10. Haloo......naweza ongea na Maimuna..

    ReplyDelete
  11. Hapo ndiyo komesha yako michu,huwezi kuturusha roho tena na mikonozzz!! na lile guu la juzi,sanasana akija aje na baibui kubwa kavaa kininja,ha ha ha haaaaa!!!!Ama wakina anti Modi tu

    ReplyDelete
  12. Heeee kaka yangu naona safari nyingi sana. ...mwenzetu una ejoy tu...kweli bongo tambarare....Lakini nina swali hivi una child support ngapi? mhhhhhh....manake sijui tuhela tunaenda wapi au wewe sio mpenzi wa nguo...au hizi t-shirt ulizipeleka bagamoyo kuchemshiwa maji kwa kibabuu zikuprotect nini!!!!.....unatupenda hutu tu-shirt na tule twa blue....next trip to dubai ...shopping iwe yako tu...sio yamai waife wako tu......

    ReplyDelete
  13. HALO NAMTAFUTA MAKAME MWAMBIE KUNA
    MTOT WA AMI YAKE AOLEWA YULE KIJANA
    MUUZA MITUMBA PALE MALINDI.TAYARI
    HARUSI TWAFANYIA HAPA MWANAKWEREKWE
    KESHA TWENDA KIBANDA MAITI HUKO
    TUTAPITA HADI KIEMBE SAMAKI KWA MJOMBA FAKI PALE.ASOHUDHURIA ASEME ATI MAANA HATUBEMBELEZI MTU HAPA

    ReplyDelete
  14. kweli nimeamini hiyo simu ni vintage inanikumbusha enzi za EAST AFRICA COMMUNICATION.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...