Brother michuzi,
Naomba unisaidie kumtafuta rafiki yangu IDDI MBARAKA hatujaonana tangu tukiwa NYERERE Sekondari, Lembeni, Mwanga toka mwaka 2002. Naomba anitafute kupitia simu yangu ya mkononi No. 0717 965942 au email paulkabewa@gmail.com
Ahsante mkuu,
Paul.

Iddi mbaraka sialipita mwezi uliopita!?
ReplyDeletePaul Msubiri Idd mwaka wa kesho
Unajua wa2 wengine ni wehu eeeh!!! Sa we anony hapo juu unajua kabisa bro Michuzi alikua na sababu kibao za kutuwekea hii blog, mojawapo ikiwa kuwacliana na ndugu,jamaa,na marafiki tuliopoteana cku nyingi...afu we unaweka utumbo wako humu!!! shame on u....
ReplyDeleteWajinga kama huyo bwege hapo juu ndio wanafanya watu wasijihusishe na web hii!! mshikaji anamtafuta ndugu yake sasa wewe mavi yamekubana na kuandika kitu kama hii ya kijinga eti idd kapita who cares and give a fuck!!!!!
ReplyDelete