kwa mujibu wa mdau adam aliyetuletea hizi, mambo ni tambarare hata huko india aliko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwani nani alidhani ni vinginevyo?Si ukiwaona hapa Bongo unajua si lolote wala chochote.

    ReplyDelete
  2. Eti ndio wawekezaji hawa?!Si ni sawa na kuitupa nchi yetu majalalani tu.

    ReplyDelete
  3. Dah NAONA BONGE LA LIMO hapo picha ya mwisho
    Francis d King hapa

    ReplyDelete
  4. Duu! mgosi michuzi,haya tena si waona hao ndo matajiri wenyewe wa bongo?haya hiyo shirika la reli tanzania si litakuwa hivi jamani!?hivi serikali ya bongo imekuwa kipofu? musituletee vitambi vya hewa bwana, tunataka maendeleo na sio umasikini.
    msononeka msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...