masupa staa wetu jide na banana zorro wakiwa na staa wa toka nairobi kwa watani wetu wa jadi eric wainana (kulia, alietamba na 'nchi ya kitu kidogo') na koreografa wa a-taun wakishuhudia michuano ya nyimbo za vikundi toka maeneo yanayopakana na hoteli za kitalii za arusha na kilimanjaro ambayo yanasaidia jamii sehemu hizo ikiwa ni pamoja na kudhamini vikundi vya utamaduni. leo ni fainali ya mashindano ya vikundi hivyo hapa ngurdoto na hao ndo majaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jide umependeza sana nakuomba uwe unapiga mavazi haya zaidi umependeza sana darling

    ReplyDelete
  2. Jide umependeza sana nakuomba uwe unapiga mavazi haya zaidi umependeza sana darling

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...