jide akitumbuiza na onyango biro leo a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. a town noma aise duh kama peponi!lol!wabeba maboksi lini mtarudi home?

    ReplyDelete
  2. ze boksis mnaona nyumbani kulivo juu?haaooooo wabeba miboksis, hivi mr 2 nae kawa mbeba boxi fulu au anatour tu huko?na best ake balozi.rudini nyieee, michu endeleeeaaa!

    ReplyDelete
  3. tulieni nyie wanuka midomo na vikwapa mbona kelele nyingi

    ReplyDelete
  4. mama jide mbona nguo umerudia? nakumbuka tulikutana ijumaa na same pamba?? no more stock au vipi?

    ReplyDelete
  5. Yaani JIDE vikaptula na exposee nyingine za aina zozote wee achana nazo tuu, maana hiyo miguu yako my friend "not reachable"!!! Kama vipi uwe unavaa suruali, mapedle na magauni / sketi ndefu.

    Ni hayo tu!!!

    ReplyDelete
  6. jamani watu mbona mnapenda kuandama mtu sana yaani anakosa hata raha n i think nyinyi nyote hamna kazi za kufanya ndio maana mnakaa kumcritisize mtu kiaci hicho get sumthng to do sawa

    ReplyDelete
  7. kwakweli dada jide tafuta watu wakushauri mavazi yakuvaa. Sio kila vazi unalopenda unalivaa shepu yako na kaptura au nguo fupi haviendi. miguu hiyo dada mmh hapana!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...