
Pichani: Mzalendo John Ulanga Mkurugenzi Mwendeshaji wa The Foundation for Civil Society akipokea Tuzo na Cheti kutoka kwa Rais wa Mtandao wa Wanataaluma na Wasomi Tanzania (Tanzania Professionals Network – TPN) Mzalendo Sanctus Mtsimbe ambayo ni mahsusi kwa Wanataaluma na Taasisi zilizofanya vizuri na kutoa mchango katika maendeleo ya jamii au Taasisi. John Ulanga alitunukiwa cheti na tuzo ya kuwa Mwanataaluma bora wa kuigwa katika utendaji wa kazi katika hafla ya kutunisha mfuko ya TPN siku ya Jumapili. Akiwa kiongozi wa Taasisi, John Ulanga amefanikiwa kuendesha Taasisi hiyo ambayo imeshatoa misaada katika miradi zaidi ya 700 toka mwaka 2003 yenye thamani zaidi ya TZS Billion 18. Katika hali ya kawaida Billion 18 si pesa kidogo na mafisadi hupenda sana kunyemelea pesa kama hizi ili kunufaisha matumbo yao.
(http://www.thefoundation-tz.org/).
(http://www.thefoundation-tz.org/).



Michuzi pass this to ur site. Google kwa kiswahili ingawa sio from tanzania wenzetu wa kenya wametushinda naona.Anyways linki hiyo www.google.co.ke .Keep up the good work!!!!we love ur site Michuzi!!!
ReplyDeleteJoti wa pale FAO
Tanzania inaongoza kwa kuwa na wakurugenzi wengi hasa vijana. Good job John, unachapa kazi and u r bright. Big up
ReplyDeleteGeologist u r cunning ! nakukumbuka sana kutokea chuo kikuu 1991, sasa madini ndio future ya nchi, wewe uko IT Y....another missed opportunity
ReplyDeletePlease inform me wahusika waliochagua na CRITERIA
1. wakina Ulanga na wajiasiamali bora?
2. mlezi mwenye skendo ya utapeli
3.PRESIDENT UMEVAA PIJAMA,UNAMATUKO SANA
tuwe transparent na tuwe na good governance sisi wasomi.Tuache ku MICROMANAGE hizi taasisi kama kampuni binafsi...it will only REPEL us
Hivi huyu kaka ameoa, Nimempenda, ka cute hadi dimples. hahaha, Michuzi naomba simu yake au email kama unayo niwasiliane nae, if he is not taken basi nijaribu bahati yangu.
ReplyDeletehuyu mbona sura kama ya mamake/sura ya kike!
ReplyDelete