
ujenzi wa jukwaa la kisasa la kubeba watazamaji takriban 500 unaendelea katika makumbusho ya taifa na jumba la utamaduni. pembeni yake upande wa kulia kutakuwa na studio za kurekodia muziki za kisasa. hii sehemu pamoja na mgahawa na ukumbi wa michezo kwa watoto vinategemewa kukamilika tayari kwa matumizi mwezi desemba mwakani


Hilo jukwaa nackia ni km lile la SUNCITY south africa!!! heheheheeeelo
ReplyDelete