watalii wakipata snepu za kumbukumbu baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro wakitokea dar asubuhi hii. hawa walikuwa ni baadhi ya abiria waliosota uwanjani dar toka saa 12 unusu asubuhi hadi saa 2 unusu baada ya ndege kuchelewa kwa kile kilichotajwa kuwa matatizo ya kiufundi. waliwasili kia yapata saa 3 na dk. 40 hivi. uzuri walisifia sana marubani kwa kuruka na kutua kwa ustadi wa hali ya juu
Home
Unlabelled
kia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Hivi Michu, hiyo KIA mbona inaonekana kama banda tu la kuku? Tezama urefu wa jengom mtu foti 6 nadhani atapata shida kupita..Tunatia aibu kuita Intanesino eaporti?????!!!
ReplyDeleteHAIKUWA AIR TOTAL CONFUSION KIFUPI
ReplyDeleteATC KWELI? MAANA INAONGOZA DUNIANI
KWA VISA.Tih tehe tihi tih
MBAVU SINA JAMANI