Wapenzi wa redo Kiss Fm Tanzania na TVT, salaam! Redio hii inasikika mtandaoni kupitia: http://www.kissfmtz.net/index-2.html na wakati huo huo hatimaye tvt imejikita mtandaoni kupitia : http://www.jumptv.com/en/channel/TVT
Wasalaam,
Subi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Asante sana kaka Michuzi...udumu milele. Clouds wao wanampango gani???? nimewamiss kinoma.

    ReplyDelete
  2. mh hawa jump tv. hawalet live. na niliwahi kuungana nao kwa star tv. na pia wananjia za kukulipisha pesa zaidi kimpango. mmm mie siwezi tena

    ReplyDelete
  3. Issa, mbona unaweka links ambazo hazina mpango, radio gani hii inaongea kiingereza...before hujaweka any link, jaribu huhakikisha kwanza kama ipo.

    ReplyDelete
  4. michuzi asante, na clouds fm je wapi??!!

    ReplyDelete
  5. JUMP TV NI MICHOSHO TUU HAWANA CHA LIVE WALA NINI, N KWA TELEVISION YA TAIFA HAWAKUTAKIWA WALA KUTUMIA WATU KAMA JUMP TV WAENDE HEWANI KAMA KTN WALIVYO TUBADILIKE.

    CLOUDS WALIKUWA HEWANI SIJUI ILIKUWAJE MBONA SI KITU INAYOTAKA HELA NYINGI JAMANI KAMA VIPI SI WATUPE MCHONGO TUWAPE TECHNOLOJIA RAHISI TUBINJUKE NAYO.

    ReplyDelete
  6. mimi nilikuwa naomba kaka michuzi uwashauri na EATV wajiunge ili tuwe tunawapata ze comedy nimewamic sana wanachekesha kinama hawa jamaa

    ReplyDelete
  7. HIZI RADIO/TV HUWA WANAANZA VIZURI KATIKA MTANDAO HALAFU BAADA YA MUDA ZINAKUFA! HUWA WANAINGIA KICHWA KICHWA TU, TENGENEZENI KITU CHA UHAKIKA SIO MNATUPA MATUMAINI KISHA MNAUUA!

    KUSEMA KWELI JUMP TV HAINA DILI, WABONGO HATUNA UWEZO WA KULIPA. HIYO KISS FM MBONA INAKATIKA KILA MARA!

    WIFI ZETU WANATUSHINDA, HEBU CHEKI ILE CAPITAL FM YA KENYA INAVYOMUDU, SASA IPO MUDA MREFU!

    MALKIA BETTY

    ReplyDelete
  8. Kiss FM wametoa dead link! never mind tutasikiliza zilizopo kwa sasa mpaka turudi dar.

    ReplyDelete
  9. Michuzi
    Mwambie Tido wa TVT aachane na JumpTV. TVT yatakiwa iende hewani moja kwa moja mfano TV za serikali za Algeria au Tunisia. Pia gharama za TVT kujirusha moja kwa moja kwa intaneti zitaweza kufidiwa na matangazo ya makampuni yaliyoko TZ na ughaibuni kutia matangazo ktk TVT-inataneti. Ingawa TVT mnapokea ruzuku toka serikalini lakini mwaweza kuomba 'upendeleo maalumu ili muweze kutumia tekonolojia ya kisasa' kwa matangazo mtakayoyapenyeza ktk intaneti pekee' na kuendelea kuzuiwa kutia matangazo ktk urushaji wa vipindi vya TV njia ya kawaida(isiyopitia intaneti). Pelekeni maombi na hoja hiyo Serikalini.
    Mdau
    SeniorJunior
    London.

    ReplyDelete
  10. Sisikii chochote cha live toka KISS FOR MAZINGAOMBWE(KISS FM) wala siko tayari kulipa malipo mengine zaidi ya kuwa na mtandao wa intaneti eti kwa ajili ya Televisheni ya Taifa. Hiyo inatakiwa kurushwa dunia nzima bila mkaruzo kutoa taarifa sahihi za nchi na kuvutia wawekezaji bila kututoza malipo wala sijui kwa nini ipitie sijui JUMP TO VIINIMACHO(Jump TV) ambapo patakuwa na hatari ya kubinafsisha habari!
    Kaka Michu mpe Tido mawasiliano haya ya Radio Maria ili akaulize wao wanafanya nini mpaka radio yao iendelee kuwa live katika tarakilishi:
    Mikocheni Industrial Area Plot No. 125
    P.O BOX 34573 DAR ES SALAAM.
    TANZANIA EAST AFRICA
    Tel: +255 22 277 3837;2771734
    Mobile: +255 744 773137; 0744 679809
    Fax: +255 22 277 1727
    Email: info.tan@radiomaria.org
    Web: www.radiomariatanzania.co.tz


    ni mimi Mdau,

    Nyakatakule Unyilisya Echalo

    ReplyDelete
  11. Kutokana na ahadi ya Tido, TVT ilitakiwa imeshakuwa hewani Septemba 7, 2007. Kama unadhani nazusha, hebu tembelea hapa:

    http://www.dailynews-tsn.com/page.php?id=8348

    Ni yale yale ya ahadi hewa ya Kikwete kuhusu tovuti ya wananchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...