Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Inasikitisha jinsi ilivyo kilimani ahadi ya maisha bora kwa kila mtz.... Hao jamaa wa Taneshco utadhani si watanzania wenzetu...hawajasoma... hawana upeo wa kuona na kutambua madhara ya hatua zao dhalimu ambazo kamwe si kwa manufaa ya watanzania waliowengi. Watanzania tusimame kidete dhidi ya maamuzi haya yanayoipoteza njozi ya maisha bora kwa kila mmoja wetu... Mungu ibariki Tanzania....Wauwe mafisadi wote....

    ReplyDelete
  2. Zimeundwa tume... zikaundwa na nyingine kuchunguza zile zilizoundwa mwanzo na sasa zinaundwa kamati na halafu yataundwa magenge na kisha ma-squad... nk nk ...ukweli unabakia palepale kuwa ''Pork eaters are really Pigs too'' Jamani mwgopeni Mungu... nji hii tutaikumbuka tulie na kusaga meno ila tutakuwa tumefurumia...

    ReplyDelete
  3. WEWE UNAWALALAMIKIA TANESCO, SASA WATASURVIVE VIPI WAKATI WANATAKIWA KULIPA MAMILIONI YA DOLLAR KILA MWEZI KWA IPTL? NA IPTL WANA MKATABA WA MIAKA MINGI TU....KALAGABAHO, WAJINGA SI NDIO WALIWAO? VUNJENI MKATABA WA IPTL AMA SIVYO MTALIA NA KUSAGA MENO HADI KIZAZI KIJACHO!

    ReplyDelete
  4. Mimi nasema ningekuwa na uwezo,mafisadi wote ningewageuza ndimu wakawa wanalambwa tu kila wakati au ningewageuza unyayo kila siku wanakanywagwa tu,au ningewageuza ngazi kila siku wanapandwa,maana nimechoka na nchi hii,yaani kila kukicha wanatukamu tu tunachopata hakuna,hivi tunakwenda wapi jamani,tuende wapi watusikize kilio chetu wadau swali hilo hebu naomba msaada mimi nifanye hivyo!!??

    ReplyDelete
  5. KP naona BILL YA UMEME ya millenium tower imeanza kukuumiza kichwa.Any way komaa tuu business bado ipo kwenye peak(boom).

    ReplyDelete
  6. Mhh! Hivi huyo jamaa (TANESCO) anakamua chuchu za ng'ombe au nanihiii??

    ReplyDelete
  7. jamaa anakamua hata ng'ombe DUME

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...