Home
Unlabelled
ma miss
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi
ReplyDeleteNaomba ukiwa unatumi picha za Miss Tanzania wa sasa hivi uwe unatuelekeza ni yupe ie wa pili kushoto- Maana si rahisi kumtambua!!!
Miss Tanzania hapo ndio anachekesha Michuzi trust me hakuna kitu hapo
ReplyDeletewawa da richa mwenyezi mungu akujaarie dada uitakathe tadhania kama richard alivyoitakatha kule thausi africa jamani mie nna kithethe
ReplyDeletenyie hamuoni baclays hiyoo!!!
ReplyDeleteJamani mbona mnasmsema sana huyu binti kyhusu uraia w3ake?
ReplyDeleteMbona RICHARD aliyeshinda BIG BROTHER ni MDACH toka Holland mbona hamsemi?
Au kwa kuwa ye Mwanaume?
Mnaleta MFUMO DUME hapa sio?
Kudadadek!
Samahani huu si ubaguzi, lakini kwa kusema ukweli naomba mnsiaidie namna ya kumtambua Miss TZ 2007 ktk picha hii. Je ndo huyo mbaya mwenye Gown la blue??
ReplyDeleteHapana dejvicka, Richa ni huyo mzuri kuliko wote hapo amevaa gauni la blue la kung'aa...huyo mwenye gauni la blue unaemsema wewe ni miss wa nanhii...ah wapi kule!!! dah nimesahau ila nchi ake inapakana na Iraq... GO RICHA GO BABY
ReplyDeleteHata kama michuzi utabania lakini gauni baya na yeye ndio amechukiza kuliko wote hapo
ReplyDeletemtoa maoni M-Mbea, hivi unajua kama baba yake Richard ni mdachi ma unamjua Mama yake?mama yake ni mtanzania na sio mdachi is big diffrent na mdosi kamili hata kama kazaliwa bongo kwani Babu Mdosi,Bibi Mdosi,vitukuu vidosi aaaah hawezi kufanana na Richard.Richard ana damu ya kibongo so stay far na mix za kibongo sio kama mdosi?
ReplyDeletemsononeka msufini.
mgosi chuzz, cha kushangaza hakuna hata mzalendo mmoja,huoni kuwa hiyo ni rassizim ya hali ya juu.unataka kusema hakuna videmu vya kiasili ya afrika ambavyo ni vizuri kuliko ninachoona hapo?aaaahh ni ubaguzi wa rangi tu they can go to hell!!!!!,you guys come to msufini you can see multy color!!!!!!
ReplyDelete