mabosi wapya wa lililokuwa shirika la reli wakiangalia kwa furaha mwanzo wa safari ya kwanza ya treni kutokea dar hadi mwanza na kigoma leo, baada ya kusitishwa kwa takriban mwaka mmoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. IMEBIDI WAGENI WAJE BAADA YA SISI KUSHINDWA KUZIENDESHA HIO TRAIN. SISI TUTAWEZA KUFANYA NINI?

    ReplyDelete
  2. Jibu kwa annon wa kwanza ni kwamba sisi tunajua namna ya kuuza nchi na kunenepesha matumbo yetu bila kujali maslahi ya vizazi vya kesho

    ReplyDelete
  3. He!, hakuna hata mmoja wao aliyeongozana na treni ktk safari yake ya mwanzo?

    Michuzi, Nauli ipoje sasa hivi?

    ReplyDelete
  4. kweli hii treni kwa ndani vipi hali yake tusifurahie kile cha juzi? viti na hali halisi inaridhisha

    ReplyDelete
  5. Chuzz mwekezaji mbona namjua,anaingiza maunga toka india kwa makontaina.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...