bei ya madafu kwenye maduka ya binafsi leo. kwa orodha kamili nenda www.dailynews-tsn.com utakuta chati ya benki kuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mi mbn celewielewi hv...mara dollar ya Canada iko juu...saizi naona ya marekani iko juu tena...kwan vp?! kuna wakunisaidia juu ya hili?

    ReplyDelete
  2. Hawa wenye haya maduka waache kuipigia debe $$$ ya bush ambayo ipo chini na ya kanada waendane na hali halisi ya dunia ya sasa.

    ReplyDelete
  3. Kwa kukusaidia tu anon wa kwanza kabisa
    $$ ya Canada kwa sasa ndiyo ipo juu kidogo for like couple of weeks now
    kwa hiyo maduka yote ya kununua fedha yanatakiwa kwenda na wakati.

    ReplyDelete
  4. Nyie mnaohoji bei za US$ na CAN$ mnasahau kuwa bei hutegemea supply na demand. Ukiwa unaishi Marekani utanotisi kwa haraka sana mabadiliko ya bei kati ya dola za Marekani na Canada. Hata hivyo hapa Bongo dola ya canada bado haina deal. Sio watu wengi wanaoitumia ukilinganisha na dola ya Marekani ndio maana dola ya Marekani bado iko juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...