Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Yaani picha ya mwanamke waliyoweka basi tu, kwa nyuma, sijui wanamtega nani? Ni Mmmatumbi mwenzetu lakini, lawama kwa nyuma, Michudhi, siku nyingine waweke picha isiyokuwa na vishawishi, bwana. Wana blog hawajai mind, lakini wakioichunguza, moto!

    ReplyDelete
  2. Nendeni shule,wabongo wengi wanapenda sana starehe, lakini ukiwaambia nendeni shule ni kama umewaambia kunyweni sumu.

    ReplyDelete
  3. mtu akishaanza kutaja READING ya huko UK, yaani nasikia kichefuchefu, sitakaa nisahau maishani mwangu mwote, jamani READING uswahilini, hata hapa bongo bado sijaona sehemu ina mambo ya kiswahili kama READING, anyway, all the best kwa mliojificha huko,,yaani maisha kama vile tuko sijui vijiji vya wapi, vijumba vimebanana, vimechoka, wabongo sasa kibao,kila mtu mfanya biashara, udaku sasa,mmh PUUUUH,PUU usinikumbushe michu,PLEASE,thank God nilirudi kwetu,,

    ReplyDelete
  4. Naomba michu tuwekee e mail ya mdada waliemuweka kwenye bango lao, tuna shida nae, please misupu fanya hivyo. Mtoto kabinuka ka nini! MMMMHHHHHH!

    ReplyDelete
  5. Michu namba ya simu na e mail address vya picha ya mdada alieko kwenye tangazo hili vipo wapi, wadau wanamtaka huyu dada, au husomi comments hizi? Tupe raha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...