Home
Unlabelled
mashabiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani kaka yetu huyu richie ana damu ya kupendwa na wazungu sijui anawapa nini.lol. dont worry everything is gonna be alright mwammbie rickie 'no one' by alicia keys dedication to rickie
ReplyDeleteAisee michuzi jamaa ndo tayari ameshinda dola laki moja yake huyo!
ReplyDeletegood luck!!
sasa vipi kuhusu droo yetu ya mshindi wa utabiri wa mechi ya aseno na manchesta ya dola mia tano sie walala hoi???
Hongera mdau!
ReplyDeleteSasa tuone kama na yeye ataitwa BUNGENI kama walivyoitwa Taifa Staaz!
ReplyDeleteKikao cha Bunge si bado kinaendelea?
ANGALIA USIJE UKAMTANI HUYO BIBI HAPO MAANA WE NI MTU WA KIFUPI CHA "kafia ulaya mazishi africa"
ReplyDeleteila hongera sana.
Nimeangalia picha zote za mapokezi mbona sijamuona JOEL BENDERA? Hakwenda kumpokea?
ReplyDeleteMbona alikwenda pale alipokuja yule ZE KOMEDI wa kutoka MAREKANI?
Au kwa sababu Rich ni M-Bongo? Huu si ubaguzi huu?
Wacheni kupapatikia WaMarekani tu!
Joel Bendera anajiheshimu, hawezi kwenda kumpokea kibaka!
ReplyDeleteHuyu Kijana ni laana ambaye anhitaji msaada kutoka wodi ya psychiatry muhimbili...
Wewe Kwetu Mwanza acha wivu usio na maendeleo yanakuhusu nini kuandika hapa huyu Richard Kibaka!haya huna hilooO!!!!99.9 tunamsapoti wewe kalaga bao kubeba maboxi mwenzako kaula utajaza ndo maana huendelei.BIG UP RICHARD CONGRATURATIONS!!!!!!
ReplyDeletewewe Anon wa 12:37 ... Hujaona lolote..Pesa ya DSTV huna kwanza LOL! Unamfagilia mbakaji, pole na dunia yote inakucheka na wafigiliaji wengine! Tazama kidogo kwenye mtandao upate elimu!
ReplyDeleteMwanangu, Tuliendelea zamani sana na tumestaafu na miaka 30! Try that!
Richard, na huyo mama wa picha ya chini naye ulim-nigerialize?
ReplyDelete