Home
Unlabelled
mataa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapa ni saani ya wali. sio filipsi
ReplyDeletebRO MICHUZI , NINA KAMA MIAK MIWILI TANGU NIWE A-TAUN AND I CAN TELL HAPO SIO PHILLIPS,,
ReplyDeleteuWIIIIIIIIII, I CANT WEIT TO GO HOME, A-TOWM.
ReplyDeletejamani siku hizi kuna taa za barabarani uwiii, kweli kumekucha Arusha.
Mji wenye hewa nzuriiiiiiii
dada T
Hapo ni SANAWARI (Makutano ya Moshi-Arusha Nairobi Road na Simeon Road) ...Hotel inayonekana hapo ni lile Gofu lililokaaa kwa muda wa miaka Kumi na ushee baada ya kupigwa Stop linamilikiwa na Mrema wa Impala...
ReplyDeleteIna maana Arusha hakukuwa na taa za barabarani?
ReplyDeleteBwana Michuzi hapo ni Sanawari. Hilo jengo ni la bwana Mrema (mwenye hotel Impala na Ngurdoto) litakuwa hotel itakayoitwa Naura Inn. Ni moja ya hotel zinazotakiwa kuisha kabla ya mkutano wa sullivan Summit wa June 2008. Lina underground parking.
ReplyDelete