WADAU WOTE MMESHUHUDIA KWAMBA ARSENAL NA MAN U NGOMA NI DROO 2-2 KWA HIYO WADAU WOTE WALIOTABIRI HIVYO WAMESHINDA NA KWA VILE KUNA ZAIDI YA MMOJA INABIDI WAHAKIKIWE KWANZA, ICHEZESHWE DROO NA KISHA MSHINDI ATATAJWA NA ATAULIZWA NAMNA YA KUPOKEA $500 YAKE.
KUMBUKA: MSHINDI NI MDAU ALIYELETA UTABIRI WAKE SAHIHI KUPITIA KWENYE GLOBU HII YA JAMII KABLA YA MSTARI MFU WA SAA 10 KASORO KUMI NA SITA ZA KIBONGO AMA 15:44 PM AMA DAKIKA MOJA KABLA YA MCHEZO KUANZA.
NIMEONA WADAU WAWILI WATATU WAMECHOMEKEA KWA KULETA UTABIRI WAO BAADA YA MUDA WA MSTARI MFU. NAWASHUKURU KWA HILO ILA WAKAE WAKIJUA WAMEULA WA CHUYA
VINGINEVYO NATOA PONGEZI KWA WADAU WOTE MLIOSHIRIKI KWENYE ZOEZI HILI AMBALO KWA KWELI LINANIPA MOYO NA KUNIFANYA NIENDELEE KUTAFUTA WAFADHILI ILI TUWE TUNAPATA MASHINDANO YA MARA KWA MARA.
NATOA SHUKRANI TENA NA TENA KWA COMPUTERCONSULT LTD. KWA UDHAMINI WAKE NA AHADI YA KUENDELEA KUFANYA HIVYO KILA INAPOBIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. "NIMEONA WADAU WAWILI WATATU WAMECHOMEKEA KWA KULETA UTABIRI WAO BAADA YA MUDA WA MSTARI MFU. NAWASHUKURU KWA HILO ILA WAKAE WAKIJUA WAMEULA WA CHUYA"

    LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...