niko na mmoja wa wadau wakubwa wa globu hi wa a-taun...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. michu toa basi ful details, mbona unabana?sema huyu ni mdau anaitwa flani bin flani anapatikana sehem flani, basi tujaribu bahati, ila mikonoz unavyoisogeza!sidhani kama uliishusha hivihivi bila kuipitisha walau japo begani, michu tutakugeuza ngazi!

    ReplyDelete
  2. michu mbina wabana naomba utupe japo jina la dada yetu yupo natural sana

    ReplyDelete
  3. michu unabana!UNAKABA MPAKA PENATI?HAYA BWANA MICHUZI BIN ISSA.TESA WEEE HUKO KWENYE SEMINA YA USHIRIKISHI KATIKA UELEKEZAJI, SISI POA TU MWANAWANI ILA KUKATAA KUSEMA NI BINT WA WAPI NI KUBANA KWA HALI YA JUU

    ReplyDelete
  4. Kaka....
    Mbona ni mambo tu ya a-taun na entertainment zingine, mbona kimya kuhusu libeneke la watu kujichukulia zawadi kwenye bahati nasibu ya $ hizo? Nini mbaya? Au bado unapumzika kwa uchovu wa safari ya Arusha?

    Kaka, fanya mambo!!! Kama kuna ulipokwama, shirikisha wadau.

    ReplyDelete
  5. Na huo mkonozzzz wa kushoto kulikoni?

    ReplyDelete
  6. Na huo mkonoz wa kushoto kulikoni?

    ReplyDelete
  7. ANAITWA NANI MTOTO HUYO? AMENG'AA
    HATA KABLA HAJATUMIA CLEAN&CLEAR
    AU ANTI-ACNE.JAMANI TZ INA WATOTO
    WE ACHA.KAMA HANA MTU PLEASE TENA
    PLEASE ATOE CONTACT MWAKANI NAKUJA
    ARUSHA TANZANIA BABA YANGU YUPO
    HAPO A-TOWN.

    ReplyDelete
  8. kudadadadadaddadadadeki,
    kweli michu kama mdau alivosema tutakugeuza ngazi!wewe wapandwa wiki nzima, sisi haooo twajigeuza choo, hatukosi kukaliwa na watoto kama hao!mtoto katulia huyu!so natural a town noma kuzuri watu wazuri duh!mna bahati si kama sisi dar joto inachoma kama pasi, kuma huwezi oga hupati usingisi.

    ReplyDelete
  9. Binti mzuri! Michuzi nawe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...