wadau, kunradhi. tu aski ze kwesheni izi noti ujingazz, au vipi. hivi mapilozz haya yote niyafanyeje hapa kitandani? yaani nislipie pilo ipi na niache ipi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Hapana shaka walioweka mapiloz kwa wingi wanajua kuwa utayatumia. Kama hujui namna ya kuyatumia waambie wayapunguze (tehe-tehe-tehe-tehe).

    ReplyDelete
  2. kuuliza sio ujinga je kujibu ni ujinga?

    ReplyDelete
  3. Uko peke yako au?!!!!!

    ReplyDelete
  4. Ukijua kuitumia hiyo mito utafaidi kweliiiii!

    ReplyDelete
  5. michu usiwe mshamba hiyo menyu ya hapo kitandani inasemaje,au la!!tupa chini kafuate pilo origino counter.

    ReplyDelete
  6. mithupu eeh!
    pilo hizo unazipanga upande mmoja kama binadam kisha unaifunika shuka.Baabae wewe ukilala unajifunika blanket pamoja na kufuifunika mito hiyo.Nyeto saaaafi.Asubuhi miayo tu na kukamua chai yao.Yani inamaana ulikuwa hujui????Uliza mabachara

    ReplyDelete
  7. Michuzi na wee saingine unakuwa kama hujui bwana... moja lako mengine yote unafungasha nayo kwenu. we si umeshayalipia bwana..ah!

    ReplyDelete
  8. ISSA HUYO DADA HAPO JUU..MAMBO YALIKUWA MSWANO KATIKA "..HICHO KIWANJA.." BWAWA LA MAINI KAPIGA BAO 8 WEWE JE..?

    ReplyDelete
  9. michuzi jibu ni hili ,hiyo mito iko sita moja lako na lingine la huyo mdau mingine iliyobaki mawili unaweka kuzuia usianguke baina yako wewe na huyo mdau, next liverpool 8 michuzi je ngapi?tunataka matokeo.

    ReplyDelete
  10. Michuzi hiyo mipilozz uweke yote uvunguni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...