jk akipokea mwenge toka kwa aliyekuwa rais wa nigeria mh. olesegun obasanjo wakati wa tamati ya mkutano mkuu wa saba wa sullivan huko abuja, ikiwa kama ishara ya kupewa jukumu la kuandaa mkutano wa nane ambao maandalizi yamepamba moto ili ufanyike arusha mwezi juni mwakani. habari zaidi na picha juu ya mkutano huo ambao hushirikisha mamia ya wawekezaji na viongozi wa afrika na marekani nenda http://www.thesullivansummit.go.tz/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ooooh my god..........mheshimiwa mtakatifu.........rais.....ulioumbika kidumu chama cha mapinduzi baada ya kusema hayo na kumtukuza mheshimiwa rais natanguliza pole zangu za dhati kwa kufiwa na mwanao wa kwanza wa ari mpya nguvu mpya sijui kama nimesema vizuri hivyo silogani ya uchaguzi you know niko ughaibuni sasa baba mbona rushwa ndio inaota mizizi kwani vipi au ndio yale yale chukua changu mapema .........i have no idea mzee umefanya nini nasikia watu i mean people i know that life over there is like hell in the middle of haven....masikini kufa masikini na matajiri kuendelea kutajirika............well baba wadau tofauti ya bwana mwizi kuliko wote i mean mkapa na wewe bwana kikwete ni nini kwani nasikia mchanga wa mwadui wewe mpendwa ndio uliodondoka lisiginecha........sasa bona unadanganya guvu ya zamani na ari ya zamani well done one thing just sell your nchi taratibu mpaka wadanganyika wakiamka utakuwa umeshauza hata hewa wanayopumua kwa kubinafisha hata wake zao..............well done kill us taratibu mungu tubariki wadanganyika ................mtakoma mimi niko ulayaaaaaaaaaaai mean kwa busssssshhiiiiiiiiiiiiiiii piga box tu get mkwanja wa dakitari bongo life is full of mambo

    ReplyDelete
  2. Sasa baba wa taifa mbona watuangushaaa?wauzza vyote na hawa vijana wa kesho kweli watakwenda wapi?maana safari haziiishi huku kule but ukirudi twasikia mara mgodi fulni kauziwa mdosi au kampuni fulani kauziwa kaburu,na sisi je?watoto wetu waridhi nini Tanzania cha kujivunia?hata mbuga za wanyama mumeuza jamani hivi ni haki kweli hiyo?hebu tuone aibu jamani tunataka maendeleo lakini siyo ya namna hii bwana.please jirudi labda ni ndoto mbaya unaota,cos hapo naona na mwenge umeushika nafikiri unakumbuka azimio la arusha,isiwe kama vile lakini maendeleo ya kweli sio kujaza matumbo wakati vijana wa kesho hawa future!!!!.Its not good bwana raisi hebu wafikirie those young future.
    msononeka msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...