Michuzi,


Huyu ni mfalme Daudi na Goliath watatu, haha kijana huyu kanikumbusha mbali sana enzi zangu nilipokuwa nabonda shule nzima.


Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. No huyo dogo namjua ni mtoto wa Bruce lee...c unaona hilo pigo la chain, jamaa walikula kichapo afu wakatupwa ndani kwanini wamelizwa na mtoto mdogo!!!! heheheeeelo

    ReplyDelete
  2. SOFTWARE (PHOTOSHOP) ZIDUMU.

    ReplyDelete
  3. Ka kijana kamenifurahisha haka!!!

    ReplyDelete
  4. Hii sio PHOTOSHOP mwanangu, huyu dogo kadata. Yaani humwelezi lolote. Enzi zangu Primary hii ilikuwa kawaida, yaani mkwala tu unaingia mitini. Ndio hizi - OC'Sinza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...