Assalam Aleykum kaka Michuzi,

Nakuandikia kuhusiana na mtoto wa bwana Nkya ambaye picha yake uliiposti katika Blog yako kuhusiana na kutaka msaada wa tiba Katika kupekua pekua zangu kwenye habari za tiba nimepata website moja moja ambapo taasisi moja hufanya operesheni kwa watoto wenye matatizo kama hayo kutoka nchi masikini duniani.
Pengine bwana Nkya akiwasiliana nao anaweza kutibiwa mwanaye kwa haraka na bure badala ya kusubiri msaada ili mwanawe ampeleke India. tasisi hiyo iko Uingereza kwa hivyo shime kwa wadau mlioko
Uk mnaweza kutoa msaada wenu kumsaidia bwana Nkya ili apewe msaada huo.

Tovuti yao ni....

http://www.facingtheworld.net/

Telephone(+ 4 4) 2 0 7 3 5 2 0 0 5 2
Address
Facing the World
5a London House
Serviced Offices
266 Fulham Road
LondonSW10 9EL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. asante kwa info...i hope zitamsaidia

    ReplyDelete
  2. Great contact.

    ReplyDelete
  3. Mimi sitaridhika mpaka nimuone yule jamaa wa AUDI sijui Richa amefanya kitu..!! Yuko wapi?

    ReplyDelete
  4. SERIOUSLY MISS TZ 2007 CAN MAKE THIS A PROJECT YA KUSAIDIA HII ISSUE. SHE CAN FACE THE WORLD BECAUSE SHE HAS WHAT IS REFFERED TO AS PERFECT FEATURES. SO IT IS ONLY RIGHT FOR HER TO HELP OTHERS FACE THE WORLD. TENA ATAFANIKIWA KILAINI KABISA. RICHA TAKE NOTE.

    ReplyDelete
  5. wewe bwana mwenye Audi natuamini unasoma blogu hii since u asked for ur photo and ur car to be published here for ujiko.. sisi wadau wa uk, uwezo wa audi hatuna, tunazichanga kwa kubeba box, so wewe mwenye uwezo wa kula ride kwenye hiyo Q7 tunakuomba saidia huyu mtoto, na wewe Richa kumbuka ulicho sema kwenye maswali yako ya umiss, sasa toa hilo pande huyu mtoto atibiwe, hujazaa wewe uchungu wake huujui, tafadhalini, take this matter seriously and keep visiting the blog coz there will be more comments of pleading u two to help this child..

    thanx in advance, MDAU, UK

    ReplyDelete
  6. Ni wazo zuri, tafadhali Bwana Nkya tujulishe pindi utakapofanikisha utaratibu na hawa jamaa ili tuweze kutoa michango yetu kupitia hii website

    ReplyDelete
  7. Michuzi na Wote:

    Mkisoma para ya mwisho, mtaona kuwa hata hapo Kenya kuna uwezekano wa shirika moja kuweza kutoa msaada unaotakikana.

    Maelezo kwa kifupi:

    Ugonjwa wa cleft palates and lips si kansa!!!!!!!!!!! Ni ugonjwa unaotokana na hitilafu za kutokua kwa sehemu hizo wakati wa majira ya “foetus” katika tumbo la uzazi .

    Mashirika yafuatayo yanaweza kusaidia sana huo. Mtu yeyote anayependa kusaidia kutafuta “foundations” zinazosaidia anaweza kuongezea orodha hii:

    1. http://www.icpfweb.org/

    What is ICPF?
    The International Cleft lip and Palate Foundation is a multi disciplinary humanitarian foundation devoted to cleft lip and palate patients. It was established on October 23 1997, at KYOTO with more than twenty countries participating.

    The ICPF has regional branches worldwide.

    ICPF Central Office

    ICPF Branch in Asia-Pacific region
    JCPF Japanese Cleft Palate Foundation
    c/o Aichi-Gakuin University
    2-11 Suemori-dori, Chikusa-ku, Nagoya 464-8651, JAPAN
    TEL/FAX : +81-52-751-7181(ext. 359)
    E-mail : info@icpfWeb.org

    ICPF Branch in Europe
    c/o Professor Hans-Henning Horch
    Klinik und Klinik fur Mund-Kiefer- Gesichitschirurgie
    der Technischen Universitat
    Munchen
    TEL : +49 89 4140 2921
    FAX : +49 89 4140 4993
    E-mail : horch@mkg.med.tu-muenchen.de

    ICPF Branch in the Americas
    c/o Professor David Precious
    Dalhousie University
    Halifax, Nova Scotia
    Canada, B3H 3J5
    TEL : +1 902 494 1679
    FAX : +1 902 423 9584
    E-mail : d.s.precious@dal.ca

    2. http://www.smilesinternationalfoundation.org

    Who We Are: Smiles International Foundation is a national and international organization which organizes and provides charitable surgical care for underpriveldged children internationally and in the U.S.A. who are afflicted with cleft and craniofacial deformities through a team approach for longitudinal care. This allows excellence in optimal growth and development for the children served.

    3. http://www.operationsmile.org/?cid=3&OVRAW=cleft%20lips&OVKEY=cleft%20lip&OVMTC=standard&OVADID=6288104021&OVKWID=71180800021

    Throughout the world, Operation Smile volunteers repair childhood facial deformities while building public and private partnerships that advocate for sustainable healthcare systems for children and families. Together, we create smiles, change lives, heal humanity.

    In Kenya:

    Operation Smile Mission in Kenya began its 20th Anniversary year celebrations by conducting a local mission in Meru, its fourth at this site in five years. The all-Kenyan medical volunteer team, led by team leaders Dr. Kimani Wangeri and Dr. Alex Kinyua, and clinical coordinator, Doris Musyoka, provided life-changing surgeries to 99 children during three days of surgery.

    ReplyDelete
  8. Hongera sana uliyepata hii contact,mimi niko London karibu na hii organisation.

    To Mr Nkya,kesho asubuhi mimi nitawa contact hii organisation kujua nini wanahitaji kutoka kwako ili kuweza kumsaidia mtoto wako asap and i will let you know through Kaka Michuzi asap.

    ReplyDelete
  9. To Kaka Nkya kama nilivyoahidi kuwa nitawasiliana na facing the world in london kujua nini unatakiwa kufanya.

    Naona itakuwa rahisi kwao kama daktari wa mtoto was dar es salaaam atajaza hii form asap,maana wanatumia info atakazowapa kujua kama wataweza kumsaidia mtoto bila gharama zozote.

    Pia inakuwa rahisi nikifuatilia wenyewe kujua wanaongelea kazi gani.

    Form iko kwenye page hii
    www.facingtheworld.net/contactus.asp

    Tumia form ya referral page by clicking the second link kutoka juu

    Ukishatuma form nijulishe kwa text +447510061069 (Monica Mwangunga) ili nianze kufuatilia.

    ReplyDelete
  10. Michuzi mi niko USA naweza nikajifunga japo $1000,ndio huwezo wangu jamani lakini kwa sharti la hawa mabwana watatu nitakaowataja hapa nao watoe ahadi zao;Nao ni bwana Mohamed Enterprices,Yule mfanya biashara wa kutengeneza mabody ya mabasi/mfadhili wa yanga na Bwana Nazir karamagi.

    ReplyDelete
  11. Borna gain pagan ugonjw unaousema sio huu. Huyu mtoto alizaliwa mzima na daw zikamuharibu.

    ReplyDelete
  12. Monica Mwangunga and Mboni Mwangunga are the same person? nauliza tu, am a friend from Tz. want to contact you but i just need to be sure.

    ReplyDelete
  13. Anonymous was mwisho, Mboni(Monica) Mwangunga is the same person, unaweza ukani contact.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...