
makamu wa mwenyekiti wa ccm mpya si mgeni sana katika ulingo wa siasa. ukiachilia mbali kuwa spika wa muda mrefu bali pia amewahi kuwa katibu mkuu wa chama hicho enzi hizo tulipokuwa tunamng'oa nduli idi amini. simba wa vita mzee rashidi kawawa akiwa waziri mkuu kama inavyoonekana kwenye picha hii ya kumbukumbu wakiwa na rais wa uganda godfrey binaisa na wakuu wa majeshi baada ya vita hiyo ya kagera


Michuzi, Tunaomba picha ya bwana Ben Kiko muhimu sana kwenye historia ya kuripoti vita ya Kagera!
ReplyDeleteHawa wazee waache wabadilishane nafasi mpaka waishe ndiyo tufikirie jinsi ya kuchukua nafasi!!
hivi kuna tofauti gani kiumri kati ya Malecela na Msekwa?Malecela ana 73,Msekwa ana 72,lakini siku zote Malecela ndiyo anaitwa babu ndani ya CCM.Akigombea,wanamuondoa,tena mapeema!Hawamtaki kwa kisingizio cha uzee,lakini bado wanateua wazee haohao kuongoza chama.Hivi kunani Malecela?why anaogopwa kama njaa??Ilifikia kipindi mpaka Nyerere akataka kutoka CCM kisa Malecela kachukua fomu ya kugombea urais,kwanini hata Nyerere alikuwa anamuhofia sana Malecela na si vingunge wengine wa siku zile kama kina Msuya,Msekwa mwenyewe,Bomani etc????serikali 3,au???Haya tusubiri tuone kama ameridhika safari hii!
ReplyDeleteUteuzi huu Kikwete kakosea step,hawezi kuua makundi.Ona kwa mfano-Sitta ni mtandao,na ndiyo huohuo mtandao ulimwangusha Msekwa kwenye uchaguzi wa u spika.Sasa Msekwa na mtandao unafikiri itakuwaje?
Kwa maana nyingine Kikwete kajimaliza mwenyewe!!!
Usibane michu...
LaLu
Game gumu hili lakini kama kawa the Gunners will be on top again; utabiri wangu ni:
ReplyDeleteArsenal 2 - Man U 1
zumbo28@yahoo.com (Huruma)
Nashukuru saana Michuzi, hivi ninavyoandika nimefanikiwa kumpata Steve Shelukindo, Kweli nimekubali blog yako inatisha!
ReplyDeleteNaomba nivumile nitumie nafasi hii ambayo watu wanahamu saana ya kujua uchaguzi wa CCM kuwaomba wale wanaomfahamu Allan Kuzirwa pia kumpatia namba yangu ili tuwasiliane, namba ni 07723922681, tafadhali Denis rafikiyao anawatafuta saana, anasema anataka kuja Tanzania kwa ajili ya hawa rafiki zake
Kaka Michuzi,,unanikumbusha mbali sana kwenye picha ya magenerali wetu hapo juu
ReplyDeletePcha hii ilipigwa na mimi nikishihudia nje ya ngome kuu ya makazi ya Rais Kmapala Uganda,baada ya kufika hapo toka kutembelea kambi ya Mto Ngono iliyokuwa inaongozwa na hayati brigedia Imran Kombe mwaka 1978 hapo, sehemu inayohisiwa kuwa mtu wa kwanza kuwa na HIV duniani alitoka hapo kijijini
Kushoto kabisa mwenye masharubu ni hayati jeneral Waden Marwa{kamanda kambale}aliyekuwa na uwezo kusafiri hadi Kampala na kurudi bila kambini Nyakibimbiri ila kukamatwa na Nduli AMINI akapewa jina la Kambale kwa uwezo wake huo,akifatiwa na generali Mayunga Sailas{kamanda mti mkavu kwa tabia yake ya kutembea na mkongojo mkononi kila alipo}
anayefatia hapo baada ya Msekwa ni jeneral David Musuguli{kamanda Mutukula}aliyekuwa MTZ wa kwanza kuingia nchini kwa Uganda kwa mbwembwe akivuka vitongoji vya Mtukula tena mchana kabisa huku akitafuna muwa alioupata kwa kuvuna kutoka shamba la serikali ya kijiji},,anafatia Rais mteule Geofrey Kakongwa Binaisa aliyeteuliwa Rais toka kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya Uganda,baada ya hayati Lule kugombana na hayati Mwl
Anayefatia ni mkuu wa majeshi ya TZ hayati Twalipo,aliyerudi nyumbani tz baada ya picha hii baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi ya tz
Mimi kipindi hicho ni Luten ktk jeshi la tz,kikosi cha uhandisi chini ya hayati jenerali msomi mno jeshini kipindi hicho Rajabu R.R. Rajabu{kafariki mwezi wa jana}
Anony wa Nov 12:46
ReplyDeleteKwanza Hongera sana kwa kazi nzuri, pili KAhistoria kafupi lakini katamu sana kuna ambayo yalikuwa hayasemwi na tungependa kuyajua.
Tatu ningependa kujua jina lako na upo wapi na unafanya nini Kamanda.
Otherwise pls piusmicky@yahoo.co.uk tafadhali sana Kamanda tuwasiliane.
marekebisho ya bure, Wakati wa vita ya Kagera, Kawawa alikuwa katibu mkuu wa CCM, Sokoine waziri mkuu, Msekwa naibu spika.
ReplyDeleteHamna. Sokoine alikuwa waziri wa ulinzi, Kawawa waziri mkuu, Msekwa katibu mtendaji wa CCM
ReplyDeletesasa nimeamini,hii blog ya michuzi inahitaji adabu.
ReplyDeletekama mwaka 78 ulishakuwa luteni tayari basi we ni mzee sasa.Manake kwa wakati huo piga ua lazima ulikuwa not below 35yrs.na sasa umri wako ni zaidi ya miaka 60.
78 wengine hata kuzaliwa bado,duu ebwana ndiyo!
lakini hongera sana mzee,manake mlimng'oa NDULI kwa kishindo!
LaLu
left to right
ReplyDeleteJohn Walden "black mamba"
Mwita Marwa "kambale"
Pius Msekwa -- Katibu Mkuu CCM
Silas Mayunga "Mti Mkavu"
Lukongwa Godfrey Binaisa -- Uganda
David Musuguri "Mutukula"
Rashidi Kawawa -- Waziri wa Ulinzi
Edward Sokoine alikuwa waziri mkuu. Edwin Mtei waziri wa fedha.
kwa shujaa wa vita vya kagera,
tunahitaji kuelezwa zaidi kuhusu vita vya kagera/uganda na michango ya makamanda na wapiganaji wetu.
watu hawajui michango ya watu kama Tumainieli Kiwelu, Luhanga,Hemedi Kitete,Muhidin Kimario, Lupogo,Makunda, Hassani Boma, Msuya etc etc
WEwe Tarehe Friday, November 2, 2007 10:15:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteUnayemtafuta "Allan Kuzirwa" haitwi hivyo jina lake ni Allen Kuzilwa, yupo anfanya kazi IKULU kwa hiyo unaweza piga simu omba kuongea naye.
There is also reason to believe that a number of people with knowledge of Kagame's plot against the presidential aircraft have been assassinated. These possibly include Tanzania's former intelligence chief, Major General Imran Kombe, shot dead by policemen in northeastern Tanzania after he was mistaken for a.....
ReplyDeleteand many more claimed to have suffered heart attack in UK...