Michu,
Naomba uniweke hii taarifa kwenye blog yako.Namtafuta Mohamed Abdi (MSOMALI)tulisoma nayeShinyanga commercial Institute-Shycom mwaka 1993/95.Anipigie simu 281 935 9207 email mehuna@yahoo.com
Minya jina kiana.
Natanguliza shukrani zangu
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mzee ulimwengu mbona umeadimika sana. hata online huonekani kulikoni.
ReplyDeleteMsonge
Mzee sasa hiyo namba ya simu mbona watu wnaijua...Director vp?
ReplyDeletedu we mbwa unatafutwa kweli umeadimika ,kaaz kwelkwel!!
ReplyDeletehussen hapa hahaha
namjua huyo kijana nitawasiliana nawe through ur mail.
ReplyDeleteAbdi Msomali si alishafariki?
ReplyDeleteMkewe CARO nakumbuka alifungua saloon pale Namanga intwa CAROLS sasa sijui yuko wapi lakini mara ya mwisho nilimwona kwenye Harusi huko MIlton Keynes
unless unamtafuta ABDI MSOMALI TOFAUTI