leo nimepata bahati ya kuonana na katibu mkuu wa ist afrika mashariki balozi juma mwapachu ofisini kwake jengo la aicc hapa a-taun. huyu ni mmoja wa wazee walionisaidia sana katika kunipa mwongozo wa kazi hasa alipokuwa mjumbe wa bodi ya deile niuzi kwa miaka kadhaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mikonoz Michuzi imekugeuka, malipo ni hapa hapa duniani

    ReplyDelete
  2. Brother Michuzi, nakushukuru kwa kusikiliza ushauri wangu wa kupiga kiwi kiatu. Hongera sana. Keep it up!!!

    ReplyDelete
  3. Anony wa kwanza umenivinja mbavu kwa ka-msemo ka "malipo ni hapa hapa duniani"

    Ama kwelie michuzi alipatikana, Mzee Mwapachu alikupa Konooozzzzz..... na wewe haukuwa na jinsi ya kuchomoa.

    Ama kweli mtenda....

    ReplyDelete
  4. Michuzi nae kwa kupenda MAUJIKO! Khaa!
    Mbona hutuonyeshi kwa mfano umepiga picha na Mhudumu wa Hoteli ya Ngurudoto au mtunza bustani? Mweeh!
    Wacheni kasumba na kunyanyapaa watu wa chini jamani!

    ReplyDelete
  5. Ungepiga wewe mwenyewe Michuzi hii picha, iko off-focus

    ReplyDelete
  6. MIKONOZZZZZZZ !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...