kila pembe ya dunia bwawa la maini wanasherehekea nane mtungi ya juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. michuzi goli nane bila kuqualify = zero work.

    ReplyDelete
  2. hiyo mishikaki ya ng'ombe au ...........? mana huko ng"ombe mpaka atoke tabora, ila nyama huko kwa watani wangu dili sana, na nasikia nyama fulani..... dili sana na ukitaka kutajirika ni kuipeleka tu.

    ReplyDelete
  3. Hizo nane mtazikumbuka pale mtakaposhindwa kuwafunga Porto au marseille. Pia jiulizeni kuna faida gani kushinda mechi moja 8-0 halafu mshindwe kuingia hatua ya makundi?

    ReplyDelete
  4. Hongera sana bwawa la michuzi kwa kushinda 8-0. Lakini badala ya kuanza kupiga kelele kazeni buti mechi zilizobaki vinginevyo mwaka huu mtacheza uefa cup.

    ReplyDelete
  5. Haya michu, mwaka huu mtacheza fainali ya uefa cup. Kila la kheri.

    ReplyDelete
  6. Bw Michu katika maswala ya kula kweli hakuna Aibu! Lazima ujichekeshe upate mishikaki ya bure. pita sokomuhogo Piga wadau wa Cuf! na Mlandege piga wa CCM. itatulia na Waarabu wa Malindi kwenye mgahawa.

    ReplyDelete
  7. Michuzi,
    ukienda ROMA fanya kama wafanyavyo waroma.
    Angalia jinsi ulivyoweka vidole vyako vya mkono wa kulia. Zenj unaweza ukaeleweka sivyo ndivyo....

    Muone huyo mwenzako alivyoweka vidole vyake, hivyo ndio inavyotakiwa kufanya ukiwa maeneo ya mwambao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...