hii ni hoteli mpya ya new african ambapo awali paliitwa ppf apartments hapa a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi, Iyo Hotel inaitwa EAST African Hotels na sio New Africa.,...umezoea vya Darisalama hadi unajichanganya ivyo au>?? Itafunguliwa rasmi 13th November na Mh.....

    ReplyDelete
  2. nasikia kuna kaburu ananyanyasa wafanyakazi hapo balaa, nadhani ni ya yule msomali mwekezaji wa mijihoteli bongo.a town noma, patamu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...