
Chuo cha Muziki wa Nchi za Jahazi, baada ya warsha wa wiki tatu na walimu wa Chuo cha Muziki wa Nchi za Jahazi na wanasanii kutoka vikundi mbalimbali Pemba, kupitia ufadhili wa UNESCO kinawaletea onyesho la taarab asilia.
Siku: Ijumaa Novemba 9, 2007
Muda: Saa 2 usiku
Pahala: Chakechake, Pemba, Tibirinzi Uwanja wa watoto
Kiingilio mguu wako a.k.a bure!
Kiingilio mguu wako a.k.a bure!
Ahsante na karibuni sana!
DCMA-Press Officer: Leonie Schollmeyer
Dhow Countries Music Academy
P.O. Box 4055
Zanzibar / Tanzania
Tel. +255 (0)777 416529
Landline +255 (0)24 2234050
Fax + 309 417 2841
Email: musicacademy@zanlink.com
www.zanzibarmusic.org



OOOOOH KUMBE NISHAJUA KILICHO MPELEKA MICHU UNGUJA NISALIMIE MDEBWEDO
ReplyDelete