usiombe kupata pancha ukiwa na kago ya skrepa na halafu uko mwenyewe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa ana akili kweli?!!!! kupiga jeki wakati gari ime overload? Kajeki kenyewe kadogo jamani kikifyatuka kiko kwenye kichwa chake, twabaki sema ajali imepangwa.. Kazi ya Mungu!!! Mmh!

    ReplyDelete
  2. Bongo bwana !!!hawaelewi mambo ya heath & Safety..majuu hakuna mambo ya kienyeji kama haya.Mtu kama huyu akionekana hatakaa aendeshe gari maisha yake yote

    Michu kwani bongo hakuna AA?

    ReplyDelete
  3. watu wanaotoa comments zao wawe na akili japo kidogo. we ulitaka mtu akipata pancha bongo afanyeje, unavyong'ang'ania mambo ya health aundo umejifunza leo nini? au ndio kwanza unaingia uk pale ni bongo na ndio maana panaitwa bongo, au ulitaka apige tripple a kama yuko state. Watu tunasahau sana tulikotoka ndio sababu wengine wanaukana utanzania wao lakini wakumbuke wao ni watanzania tu hawana namna ya kuukana.

    ReplyDelete
  4. Annony wa nov 3 mbona jazba, mimi namuelimisha wewe unamjaza ujinga ili mradi bongo ndiyo afe tuu..

    muhimu ajikinge na mambo ya hatari ..hayo ya uraia ni yako hayana uhusiano hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...