Home
Unlabelled
salaam toka uswazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe swazi kama mndenyi tu
ReplyDeleteDah, kweli hao ni BBC manake ni majimama ya nguvu...tafadhali michuzi can I have contacts za huyo dada wa pili kushoto? (km hajaolewa lakini) I serious...
ReplyDeleteWewe huyo dada wa pili kushoto umempendea huo MDOMO??? Wee haya weeeee. Utaoa wengi sana kwa design hiyo.
ReplyDeleteNAKUONA acha machara m2 angu...nikianza kueleza sababu za kwanini nimempenda huyo dada tutakesha hapa...namfahamu vzuri sana, tulisoma wote sekondari ndo mana nina interest nae manake ukiacha uzuri wake binafsi ni kichwa sana...na ana akili za maisha ni noma. Michuzi I still insist on this " can I have the contacts?"
ReplyDeleteJamani Biashara matangazo.. Si yetu macho.
ReplyDeleteheheheh ana kichwa na akili ya maisha... poor men...wanaume wa siku hizi wanatafuta wanawake wakuwalisha...
ReplyDeleteWe anony 9:39:00, naomba nijitambulishe ili ujue kuwa mi sio wewe...niko canada manitoba province kwa sasa doing my Phd on Environment science(physical sciences n geology) probably next year ntagraduate, kifedha nina uwezo wa kufadhili Big Brother Africa kwa miaka mi6 mfululizo. So kwa kifupi sihitaji mwanamke wa kunilisha...I need someone to build up family. una la zaidi???
ReplyDeleteduu mjomba kwani canada ndio mbinguni?nani anajua kama ni kweli u r thea 4 phd au unapiga deki mjomba? sema kweli bwana basi ukirudi toa msaada wa kutengeneza barabara usifathili big brother tunahitaji msaada wako kama mzalendo wa kweli.nakuombea kila la heri na phd yako kwani twahiitaji bongo.karibu tena nyumbani mjomba.
ReplyDeleteWewe bwege acha kujishaua watu wenye pesa hawaongei kama wajinga hivyo na pia kuwa canada ndio nini si kijisafari tu ambacho mtu yoyote anaweza kukifanya acha kujishaua kufanya hiyo phd yako au phn ndio nini shut that gob!
ReplyDeletekwikwikwikwikwiii una hela ya kusupport big brother Africa miaka 6 mfululizo.... poor you....kusoma sio kuelimika ndugu yangu ....au bado unahitaji kukua nini??????
ReplyDeleteKweli wanavyosema growing older is mandatory but growing up is option hawakukosema...na Phd yako bado hujaelimika???!!!!!...big brother Africa......kwikwikwikwikwi Watu wengine mnachekesha kweli...mnaelezwa ukweli mnaanza kujambajamba....