wadau kunradhi, ndo mwanzo narudi toka mashimoni. droo ya mshindi ntachezesha kesho. nimerudi hoi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. droo itachezeshwa wapi na chini ya wadau wa bahati nasibu wa taifa (yaani akina TARIMBA ABASI) ?
    Vinginevyo isije ikawa kama droo itategemea matokeo ya mezani au ya itifaki?

    ReplyDelete
  2. Aisee Michu ili shindano linachezwaje?

    ReplyDelete
  3. unatutia uchungu na hiyo tanzanite, nchi yetu ni ya tatu duniani kwa kutoa hayo madini,cha ajabu hii mawe inapatikana tanzania peke yake. AMA kweli mkenya katuzidi ujanja

    ReplyDelete
  4. mara hii umerudi? Mbona kimya kimya waja waondoka bila hata hodi wala kwaheri?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...