Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. ha ha ha ha ha ha .... this is funny!!

    SteveD.

    ReplyDelete
  2. Haya ndio maendeleo makubwa ya afrika. Yaani inasikitisha sana. Halafu misupu anakandamiza wazee wa box. Watu wanakimbia nyumbani kwa mengi

    ReplyDelete
  3. NANI ARUDI TZ BORA NIUZE HATA BAJIA
    ULAYA THAN KUWA PROFESA TZ.SI UNAONA JINSI MAGAGULA WANAVYOTULIZA
    WATU.NA HATA AKITAKA MBUZI WA RANGI
    YA KIJANI MWENYE MABAKA YA BLUU
    ANAPEWA CHAKE.KAZI KWELI KWELI

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi waeleze wazee wako wa CCM kuwa tunayakimbia mengi huko Bongo. TZ ukitaka kuwa mtu sharti u-kiss ass daima na ukiwa na msimamo kama Kabwe Zitto wajanja (CCM) wanakuendea Bagamoyo. Kwa mtazamo huu, nani arudi Bongo?

    ReplyDelete
  5. Nyoo, icwe sababu nyie...mbn huko mliko wa2 risasi zinawaka km baghdad vile, ishu ni kwamba hamna nauli za kuwarudisha bongo manake mshahara wa mabox unaishia kwenye kula na kupanga nyumba!!!! mtajiju, ishu km hz ziko sehemu nyingi tu duniani....mcjishaue!!! limewashuka shuuu!!!!!

    ReplyDelete
  6. mbn ina maana gani?

    ReplyDelete
  7. mbn... ni mbona hiyo. halafu mimi kwenye hii katuni mbona kama nimeelewa tofauti. nimehisi kama watu wa chama chake ndio wamekwenda kumuwekea zenge yaani yeye anasikika zaidi kama individual than chama anachokiwakilisha! ni uelewo wangu tu jamani msianze kunipiga madongo

    ReplyDelete
  8. kaka michuzi washauri hao viongozi wa huko bongo hasa wa hiko chama waache kabisa mawazo hayo watakwisha huyu ndugu yangu katoka mwisho wa reli ya bongo.waka waulize mzee wa mchinga na wenzake kilichowapata!!!halafu huyo kipanya anatuonyesha kuwa ndio mambo yake anafanya apate jina huko bongo!!

    ReplyDelete
  9. Mzee wa mchinga ni nani na nini kilichomkumba?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...