baada ya kufungwa ukumbi wa bilikanaz kwa ajili ya ukarabati twanga wanapepeta usiku wa mwafrika kwenye ukumbi maarufu wa maisha club ulioko ostabei kila jumatano kuanzia jumatano hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Safi sana hiyo,imekaa vizuri

    ReplyDelete
  2. Ushamba mzigo jamani.Mavazi ya ugenini kuyavabavaba ona yanavyowashinda wenzetu hapa.Yaani waonekana vituko.

    ReplyDelete
  3. OOhhh!!! pekecha pekecha wengine hawa hivi shule wanaenda au ndio miili hiyo inalipa.Wangeenda shule wangeweza kujitambua kuwa ni waafrica na mivao hiyo waachie wadhungu.Pigeni mipigo ya kiafrica jamani mnatia aibu na uchovu.Na huyo mwingine raba hizo ka wakuja,fashion police hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...