Home
Unlabelled
ulinzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiyo T-shirt jamaa kaifuma tu kwenye mtumba, polisi wa bongo hawana Tshirts. Yeye hana cha upolisi wala unjago kajivalia tu mradi kufunika ngozi!
ReplyDeletewewe anon wa kwanza hapo juu hayo yote tunajua. hii ni joke tu hakuna alifikiri kwamba huyo ni Polisi kweli
ReplyDeletehapo ndipo uone jinsi kulivyo na kaaaazi kwel kweliii pale bongo as waweza kuta mdada wa watu kavaa nguo alaf maeneo flani imeandikwa i command u to touch it..sasa mie jamani nikigusa kuna makosa???si nimeamrishwa??
ReplyDeletehalafuu Michu vp tena lile suala la zile dola mia 5?as kimya kingi..au ndo kina mshindo mkuu?si unajua wengine tulishapangia budget fweza yetu ile ya utabiri wa man utd na arsenal??!!!??
Michu
ReplyDeleteHizi picha babaake ndiyo zinaniacha hoi kila ninapofungua blog huwezi pata sehemu nyingine ila kwa watu kama anoni wa 3:07:00 wasiozijua hizo picha lazima watakomenti ingawaje ni haki yao achana nao
Bila kubisha huyu yanki lazima atakuwa msanii wa Flava tu. Maana hawa jamaa mtu hata kama hajui kitu kina maana gani lazima atalazimisha tu ili aonekne kama black american. Kweli wasanii wa flava ni ma-alosto tu.
ReplyDelete