miss tz 2007 richa adhia akiwa katika majukumu yake ya kutembelea mashule kutoa ushauri wa maswala mbalimbali ikiwemo tahadhari ya magonjwa, mimba kamba ya wakati na kadhalika. hivi sasa yuko china tayari kwa mchuano wa miss world ifikapo desemba 1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani hujui kuvaa Richa, hebu wasiliana na madizaina wa hapa bongo wakubrush kidogo, hebu walimwengu nisaidieni kuangalia hicho kiblauzi sijui kishati mmmmhhhh kibayaaaaaa. Pia badili hair style!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...