Bwana Michu: TAARIFA YA MAONI.

Katika Utaratibu wa kuisaidia jamii ambayo mara nyingi walowengi hawanacho kuna taasisi kama" Law and Order Sector (GJLOS) Reform Programme" ambayo kusema kweli imeanza kuleta mabadiliko sana. Soma hapo Down.Tanzania Inaweza kuwa vizuri tuzinduke zaidi kwa si hajabu mambo haya yapo. Ama mwaonaje?
Administration of Justice in Kenya:


Has your file ever ‘disappeared’ at the courts but re-appeared at the production of ‘kitu kidogo’? Have you ever reported a crime and you became the criminal instead? Were you abused domestically only to be turned back at a police station to sort your family matters at home? Did you ever loose a case in court because you could not give a kickback? The list is endless but the Governance, Justice, Law and Order Sector (GJLOS) Reform Programme is here to support reforms that should lead to an improvement in the services delivered to you by the relevant Government departments.

Tembelea :
http://www.gjlos.go.ke/

Regards,
Anonymous.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...