Evolution according to Dr james Watson

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ????Jamani Kamala Uko Wapi????
    Kwa mujibu wa mimi huyo mtu wa mwisho kulia nafanana na huyo wa kwanza kushoto.Kumbe kuma hatari evolution inaweza kurudi tukawa kama mtu wa kwanza.

    Halafu Mithupu huyo wa tatu toka kushoto kwako hapo huyo Homo Habilis mbona anafanana na KAMALA???Jamani hiyo siyo picha ya kamala kweli???Du kweli duniani watu wawili wawili.Yani wanafanana utafikiri mayai ya kuku wa kienyeji.
    Silva R.Mukandara

    ReplyDelete
  2. doctor watson matako yako,usituletee upuuzi.F-!!! you.It looks like you still have your head btn your legs.Get it out so that you can smell fresh air.

    ReplyDelete
  3. LABDA DR WATSON ANAONGEA UKWELI
    AMBAO KUUKUBALI NI KAZI KUBWA SANA
    MAZINGIRA,HALI YA MAISHA,MAGONJWA
    LISHE VIMEATHIRI SANA UWEZO WA KIAKILI WA WAAFRIKA.KWANI NI UONGO.
    ANYWAYA COMMENTS ZAKE HAZIKUWA NA
    SCIENTIFICAL CLUE NDIO MAANA AKAWA
    CRITICISED SANA.LAKINI KUNA UKWELI
    HATA KAMA NI MDOGO

    ReplyDelete
  4. twende mbele na nyuma.huyu watson amenena ukweli.kwanini mtu mweusi anasota sana duniani,huku kwetu africa tumeshindwa kabisa kwenda sambamba na environment yetu mlo,malazi na matibabu yetu ni duni sana

    ReplyDelete
  5. Watson may be right on his way, i may differ on some extent but some of the things we are doing in Africa really questions our intelligence.
    note:
    Intelligence does not mean passing a certain board exams, it also reflect how education has model our life
    Our Leaderships skills,reflects our intelligence, War, Racism,Looting, Mismanagement,reflects what we are

    ReplyDelete
  6. Samir,
    Mbona wazungu wamekuja South Africa na wamefanikiwa kwenye mazingira hayo hayo ambayo yamewashinda waafrika? Angalia jinsi Sout hAfrica ilivyoendelea kwa ajili ya Wazungu tofauti kabisa na nchi nyingine za Africa.

    SAC

    ReplyDelete
  7. Dr. Watson alikuwa na mawazo kama nyani ndiyo maana akajifananisha nyani. Mbona hatuoni wali katika progress za kuelekea kuwa kama mtu. Ujinga wa wengine ni kukosa mtazamo. Ikiwa ni shape ya hilo fuvu aliloona, hata leo watu wana shape tofauti

    ReplyDelete
  8. LABDA DR WATSON ANAONGEA UKWELI
    AMBAO KUUKUBALI NI KAZI KUBWA SANA
    MAZINGIRA,HALI YA MAISHA,MAGONJWA
    LISHE VIMEATHIRI SANA UWEZO WA KIAKILI WA WAAFRIKA.KWANI NI UONGO.
    ANYWAYA COMMENTS ZAKE HAZIKUWA NA
    SCIENTIFICAL CLUE NDIO MAANA AKAWA
    CRITICISED SANA.LAKINI KUNA UKWELI
    HATA KAMA NI MDOGO...

    Naona wewe ndio umeathirika na mazingira, maradhi etc etc.

    ReplyDelete
  9. WATU HUPENDANA SANA KUCHANGANYA MAENDELEO NA UWEZO WA KUFIKIRI WAKATI KWA KIASI KIKUBWA HAVIINGILIANI.

    MAENDELEO YALIOPO ULAYA YANATOKANA NA MAZINGIRA, UTAMADUNI NA HISTORIA YA ULAYA.

    WATU HAWA UKIACHILIA MBALI HALI MBAYA YA BARA LAO, UKATILI WAO TOKEA ZAMANI HADI SASA UMEWAFANYA WAWE MBELE KATIKA MAENDELEO KWANI WAMEUWA WATU NA KUYATAWALA KWA NGUVU MAENEO MENGI DUNIANI.

    ANGALIA LEO AMERIKA NI RAHISI KUSEMA IQ YA WAHINDI WEKUNDU NI NDOGO. LAKINI UKWELI NI KUWA MAENDELEO YAO NDIO MADOGO KUTOKANA NA KUKANDAMIZWA KWA MUDA MREFU.

    NI RAHISI KUSAHAU KUWA MIAKA 1000 TU ILIYOPITA ULAYA HAIKUWA CHOCHOTE WALA LOLOTE. WALIKUWA WANAPIGANA KILA KUKICHA.

    ELIMU WALIYONAYO WAMEPELEKEWA NA MUARABU ALIIPOTAWALA ULAYA YA KUSINI.

    ReplyDelete
  10. Hivi mbona hawa watu wote wanaonekana wanaume? mwanamke hakupitia hizi hatua au? nazungumzia kufuatana na hii theory, na wala sizungumzii swala la Biblia tafadhalini

    Hivi jamani kuuliza si ujinga, Naombeni msaada wasomi, hivi kweli mwanamke aametokea wapi according to these human beings theories.

    maana katika biblia nasikia ametoka ktk ubavu wa mwanamke. sasa hawa wataalam wa sayansi na historia wanasema ametoka wapi?

    dada T.

    maana hayo maumbo ya hao watu yanaonyesha ni madume.

    naomba msaada wenu

    ReplyDelete
  11. dada T hapo juu.

    Mwanamke katoka kwenye mbavu moja tuu ya mwanaume. Hapo juu mwanamke yupo ndani ya mbavu ingawa haonekani.
    tehetehehe...!

    Unless we manage to distinguish theories from facts...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...