jarida maarufu la bang! toleo la mwezi huu liko mitaani na juu ni jalada lake na chini ni moja ya stori zilizomo katika kurasa zake 96 za rangi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. naona magazeti ya upupu siku hizi ndio mnasomeshwa wala vumbi huko,sisi tunapuuzia hayo matakataka tunaachia watoto wa high school ndio wanaopenda gossip,huku ni burudani ya vitu vikubwa tuu na pamba za nguvu bila kusahau box linalotuweka mjini,hatuhitaji multy millions homes huku ukitoka nje hakuna barabara ni vumbi tupu ,maji hakuna,majambazi,umeme tabu,ndugu wanaokuzunguka njaa kali,magonjwa ya njaa na uchafu etc basi tabu tuu na ukichanganganya na rushwa basi ni disaster,anyway baadaye nawahi date na mtoto wa kibrazil
    wenu mbeba box!

    ReplyDelete
  2. Bang nawao wangewea gazeti lao kweny mtandao na sisi tunaobeba maboksi tufaidike na news za wabongo elite

    ReplyDelete
  3. sie tulio huku USA tutalipata vipi hili BANG?

    ReplyDelete
  4. Hiyo sub-title moja hapo inasema " Inside Kinje's Life & Multi-Million Shilling Home"

    Ninakwazika na vitu viwili hapo.

    1. Huwezi kuweka value ya 'home'. Unaweza kuweka value ya house or dwellings from which you create a 'home'. Home ni mazingira yanayotokana na house or living dwellings. A house is not necessarily a home, as much as a home does not always mean a house.

    2. Nini uzito wa 'Multi-million'? Multi maana yake ni more than one. Inaweza ikawa 2, 3...100 na kuendelea. Kila mwenye nyumba yenye thamani ya zaidi ya million 1, hiyo tayari ni multi-million.
    Na kama ni hivyo, what is so unique kwa Kinje wakati tunafahamu kuwa kujenga nyumba 'decent' (siyo mansion) Tz sasa hivi unahitaji multi-millions?

    Nice picture ya mtoto na Mama. Kinje achia ulichobana, unaharibu smile.

    ReplyDelete
  5. wife wa Kinje ni good looking woman, ni mdogo wake Iddi huyu ama? i mean iddi Janguo......Lulu or Mariam..

    ReplyDelete
  6. opss! Na mimi niwekwe kwenye bang!!! multi million shillings!!!!!! What a house heh!!!!! Hata nyumba yangu ipo kwenye list na mimi ni just mbeba mabox na nyumba bado haijaisha......bang!!!!


    Bongo multi millions shillings????? it should be multi billions shillings...no offence but hey...multi millions shillings sounds very little to me

    ReplyDelete
  7. We mbeba ma-box inaonekana ni mshamba sana weye! Magazeti ya upupu haya yameanzia kwneye ma-box huko huko. Kwani The Sun unaifahamu weye? Ndilo linaongoza kwa kuuzwa huko UK kwa sababu ya upupu wake. Wewe unaleta za kuleta hapa.Inaonyesha kabla ya kupanda ndege weye kwenda huko ulitoka moja kwa moja.....yakhe yakhe Sindelera.

    ReplyDelete
  8. We Ghmm, kwa lugha ya kiinglish, multi-millions means more than 50 millions regardless of currency in question! Pia lazima uwe na sustainable cash. Siyo unajenga na baada ya siku mbili unatafuta mkopo wa lakini kumpeleka mtoto shule!

    kwa hiyo usije ukawa na nyumba ya million 3 ukadai una multi-million house! Au umenunua Rav4 million 13 ukadai una gari la multi-millions! Multi-millionnaires wangejaa bongo.

    Read between lines my friend, usije ukawa mbebaji wa habari badala ya msomaji!

    ReplyDelete
  9. We annon Dec 4:12EAT huko USA BANG mkanunua Bolivia! Tuachie bang yetu huku!

    ReplyDelete
  10. Nadhani mdau Ghmn kidogo English is not reachable. Siju imekuwaje hajui maana ya multi-million. Sio kweli kuwa multi-million ina maana ya mbili au tatu.Kwa mujibu wa Dictionary hii hapa maana ya multi-million:

    Main Entry: multimillion
    Part of Speech: adj
    Definition: pertaining to several million units of something

    Na hii ikiwa itakusudiwa mtu kuwa ni multimillionare haina maana kuwa ana milioni zake mbili. Hii hapa maana yake:
    –noun
    a person who possesses a fortune that amounts to many millions of dollars, francs, etc.

    Na kuhusu Multi-million home pia inaonekana lugha huyu mdau imempiga chenga.Hebu angalia mfano huu kutoka kwenye tovuti:

    Location: Private Homes, Ocean Drive Area, North Myrtle Beach, Grand Strand - Myrtle Beach, South Carolina, USA (Exclusive Tilghman Beach Area of North Myrtle Beach)

    Accommodations: multi million home - 7 Bedrooms + Convertible bed(s) - 6 Baths - (Sleeps 22-24)

    Kutokujua sio kosa.kwahiyo nadhani mdau kaelimika.

    ReplyDelete
  11. Duuh huyo demu jamani bomba halafu mbichii!!

    Halafu nyie si wote watanzania jamani mbona mnataka kuanzisha chuku hapa?wabeba boksi kusema ukweli wanalimisi vumbi maana nyumbani ni nyumbani na wala vumbi wanafikiri ulaya ndio hamna kufa unless ukute ni wale wala vumbi ambao walikaa majuu nakuona hakuna dili.

    Cha maana ni kuridhika tu na ulichonacho na kupambana na maisha.

    Halafu hayo majina yamenichekesha sana na nimeyachukulia kama jokes, kwa sababu ulaya bwana ni kweli boksi linabebeka kwenye ma wre house watu wanapigika tu lakini at the same time bongo vumbi linalika, maana kama wewe gari yako haifungi viyoo vizuri vumbi utalila na unatembea kwa mguu gari ikipita inakulisha vumbi kishenzi.

    Basi tuombe viongozi wetu wawe wanapitapita huku ili wakiona vichekesho hivi wajipigepige basi wajenge barabara na vumbi litapungua badala ya kujifungia tu kwenye ma VX na kula viyoyozi.

    Ni mimi wenu wakupenda kujimiksi na walavumbi na wabeba boksi vile vile bila kubagua wala kuchukia.

    Wabeba boksi hoyee! Wala vumbi hoyee! waliosababisha vumbi liliwe ziii! na waliosababisha watu wakimbilie kubeba boksi zii! :):) Wala viyoyozi tukumbukeni.

    ReplyDelete
  12. Nyie mnaomsema Ghnnn wote ndio hamjui na maana gani hata mimi...muti million shillings is nothing ...mngejua nyumba zatu za kuishi wengi zimecost $350,000 and up. Ndio wengi wetu ni motgage(of course majority) Ila kwa mwendo wa kizalendo na sie wabongo tunajua kupangilia maisha yetu wengine tumashakata miaka 23 down kati ya 30 ya mikopo yao in a 10 years period...kwa mwendo huu by 2010 nitachoma mortgage saa si nitakua na nyumba ya half a million dollars? Ukiipeleka kwa hela ya kibongo ni shilling ngapi? Ndio maana watu wanashanagaa kuona eti milti million shillings....Hata ikiwa million 50 ya bongo still is not that much...Nyumba ya $50,000 ni one bad room kwanza sijui state gani...mimi ninapoishi hata studio hupati kwa hela hiyo...kwa hiyo msiwashangae watu wakishangaa multi million shillings home inawekwa kwenye gazeti

    ReplyDelete
  13. anony 11:20 pm unachemsha tu

    Location: Private Homes, Ocean Drive Area, North Myrtle Beach, Grand Strand - Myrtle Beach, South Carolina, USA (Exclusive Tilghman Beach Area of North Myrtle Beach)

    Accommodations: multi million home - 7 Bedrooms + Convertible bed(s) - 6 Baths - (Sleeps 22-24)



    Hiyo ni interms of dollars kwenye gazeti amesema multi millions shillings....Multi million shillings unajua ni shilling ngapi

    ReplyDelete
  14. Ukerewe bang inapatikana anytime ring 07799148635, get a copy every 2 months

    ReplyDelete
  15. Naona niwajibu Anony wawili kwa ufupi wa mawazo yao (myopic views).

    1. Hakuna mahali katika English kuwa multi-millions means more than 50 millions. LMAO.....

    Indeed, Webster's Dictionary 10th Edition inasema multi (Original yake ni multus in Latin) means many, multiple, much, more than two......
    Kwa hiyo, hiyo reference yako ya more than 50 nadhani utakuwa umei-pull out of the posterior opening of the alimentary canal au sayari ya Uranus.

    And in no way kuwa na nyumba ya multi-millions (dollar au shillings) means you need to have sustainable cash. Kama siyo ya urithi, then it makes good and prudent economic sound-bite, but it does not signify the norm in any way or shape. Kama ni ya urithi, then it does not matter. Ila kama wewe ni mshauri wa ki-uchumi wa Kinje, basi naamini utamshauri vyema sana kwa mtazamo wako huo.

    2. Anony wa pili ndiyo mpeche kabisa. Si kwa sababu tovuti imeandika basi uchukue kuwa ndiyo kweli au ni sahihi. Hiyo hiyo tovuti uliyoi-quote imeandika '6 baths' na bado unaona ni sawa.

    Kama huo ndiyo muelekeo wako, basi niambie nikuepuke maana utaliwa sana kwenye mtandao. Huyo anayeandika kwenye tovuti ni kama wewe na mimi, na si ajabu tunamzidi kwa mengi. Tovuti siyo msahafu.

    Point yako ya pili jibu unalo ila hutaki kuangalia. Angalia maana ya 'several' na 'many' na utakuwa umepata jibu lako tayari.

    By the way, wote wawili inaelekea kuwa lugha ni tata. Kichwa cha habari kinasema '.....multi-million shilling home' nyie mmeona tafsiri yake ina-imply multi-millionare!

    ReplyDelete
  16. Jamani mimi ni mbeba maboksi na kiingereza is not reachable , naomba mnisaidie maana ya " behind close door with kinje " nahisi kama mwandishi ametukana . Halafu anaposema " things women must have to make heads turn " nahisi kama anajaribu kuandika kudefine direct from kiswahili to kiingereza.

    Thanks , ngoja nikimbilie kazi yangu ya pili .

    ReplyDelete
  17. Kuiga kingereza jutojua kina maana gani...Multi million shillings home...wameona basi US wanasema multi million homes basi nao wameeka...mngejua millions in shillings is nothing....

    halafu the art of seduction...Mhhhhhh...behind the closed door....jamani mngejua ina maana nyingine sana kwa mtu anayejua kidhungu .....nyie wahariri...ndio maana nimesoma kwenye bongo celebrities kuna mtu alisema kuwa magazeti ya udaku yana ajiri watu wasiojua lolote. Wanaogopa kuajiri wasomi kwa vile watakataa kuandika wanachotaka na gazeti halitauzwa....

    Hii kuandika tu vitu vya ajabu mkielezwa ukweli mnajibu mkitumia na madictionary kusaidia uongo wenu au mawebpage yasio na maana. kwa vile mmekalia kila siku kugoogle tu na kucopy ...wewe hapo juu uliyeleta hila zako za maana ya mutli million na sijui uwe na cash ndio nyie nyie...mnaokuja kuajiriwa na udaku mudanganye wajinga zaidi....mkiona watu wengi wanawaeleza ukweli mjue kuna tatizo ya sentesi zenu...jta kama huku kuna magazetu ya udaku mengi tu lakini wanaandika lugha zao na zinaeleweka....hawamdaku mtu kwa lugha ya kutokueleweka

    ReplyDelete
  18. Its true huyo demu ni mbichi kabisa. She is only 20 na Kinje ni about 35 huko looh. He married her early this year she was only 19yrs. Go figure. Atamlea Kinje akizeeka

    ReplyDelete
  19. Thanks people for being die hard bang! magazine fans...! Kazi zetu ndizo hizo, kuwatumbuiza, kuhamasisha mijadala, kuwapasha habari na kuwaelimisha. We welcome comments, because from your comments we learn, we grow and we entertain you more!
    Viva Bongo! viva mavumbi, viva maboksi

    ReplyDelete
  20. MIMI NAONA HUKO US MKONASHIDA SANA MBONA SISI WENGINE HATUBISHANI KAMA NYIE.

    ReplyDelete
  21. Hivi Jacqueline hana nywele au?

    ReplyDelete
  22. mbongo kwa kujifanya kujuwa zaidi ya mwenzake tu,humuwezi.Sasa imekuwa dibeti.Endelezeni libeneke.hahahahahahhaha

    ReplyDelete
  23. Ukitaka kujua majitu malimbukeni utayajua tu, waungwana huwa wanatoa CONSTRUCTIVE CRITICISM, malimbukeni kazi yao huwa kukandia.

    Nyie wabeba maboksi amkeni sasa toeni constructive criticism sio kukandia. au maboksi na kushindia mikate kunawachanginyi akili nn?

    ReplyDelete
  24. Kinje una bahati kupata mtoto wa Kiume angelikuwa wa kike "MALIPO YAKE YANGEKUWA HAPA HAPA DUNIANI"

    ReplyDelete
  25. Piga ua garagaza,mie ntaendelea kupiga box tuuu mpaka kieleweke huko kwenye vumbi mie sirudi ng'ooo.
    Wenye wivu WALA VUMBI MJINYONGE!!!!na viza hampatii ng'oo.Hebu nijipange niliwahi toto la kiportuguese mida hii hapo Living room.

    ReplyDelete
  26. Hivi nyie watu mnaoishi bongo aliyewaambia kuwa kila aishie nje ni mbebe mabox nani? Watu wametulia na nondo zao na kazi zao za maana. Mwenyezi mungu ameumba vidole vitano na vyote havipo sawa, hata huko bongo kuna wabeba mikokoteni, maprofessor, mamenager na kadhalika. Mimi nilikuwa nachukua degree ya pili hapa mjini Washington, D.C. miaka ya nyuma na kuna walimu zaidi ya watatu kutoka Tanzania (I was really proud), nimemaliza na ninafanya kazi katika kampuni moja kama SCIENTIST kutengeneza madawa ya kupimia Kansa za aina mbali mbali na tupo zaidi ya Watanzania watatu na Waafrika kibao wakutoka mashariki na magharibi. Hivyo kama hujawahi kutoka nje ya bongo na kuona wabongo katika fani mbalimbali zaidi ya wabeba mabox (ambacho si kitu cha ajabu) then you need wash your eyes na jaribu angalau kutembelea nchi za nje kidogo than kila mara mnawasakama wabeba maboksi mbona hamzungumzii wabeba maboksi wa tanzania kwenye maduka ya wahindi wanaotukanwa siku nzima angalau huku kuna adabu unabeba box yako na unapata heshima yako. Msiseme mambo msiyoyajua

    ReplyDelete
  27. Yangu MACHO na Pua kunusa!

    ReplyDelete
  28. yaani wala vumbi wamekuja juu utafikiri wamedhulumiwa kitu,halafu msipende kujilinganisha na sisi ni league tofauti sana tunayocheza nayo huku labda miaka 1000 ijayo,huku box lina heshima kuliko CEOs wenu njaa,na mjue sio wote wanabeba box kuna wengi tuu wana kazi zao ambazo huko dream na hamjawahi hata kuzisikia,mimi napiga box natengeneza zaidi ya 40G na life is good hapa na paper nishabamba sasa nachukua mkopo naingia shule na nina 23 tuu,ila mwache kujilinganisha na sisi najua ni kawivu tuu maana mlipiga sana kampeni ya kutuita sisi wabeba box na wala hatukukasirika tukajiuliza hivi hawa wala vumbi wanajua wanachoongea au ni wivu tuu,endeleeni kula vumbi na rushwa maana ndio destiny yenu na kupigwa na mapolisi
    wenu mbeba box aliyeuchinja.

    ReplyDelete
  29. Wabeba mabox wako kwenye Men's league na wala vumbi including maministers wao na maCEO's wao, majua kali woteee wapo kwenye Toddler's leagues even boy's league hawajafikia.mjinyonge!!!!!!

    ReplyDelete
  30. nyie mnaosema wabeba mabox wanalalamika...ni kwa vile wameshatoa tongo tongo...Ukishatoka nje ya nchi ndio unajua tofauti yake ni nini

    You will neve know the difference if there is nothing to comapare

    ReplyDelete
  31. Jamani jamani Watanzania hivi huu ubaguzi mnautoa wapi???!!! yameanza lini haya mambo ya dharau na matabaka eti ya wala vumbi na wabeba mabox??? tunaelekea wapi ndugu zangu? kwani ukibeba box au ukila vumbi mwisho wa siku si mtu unapata riziki yako na haukwapui kwa mtu?!! kwanini tusiheshimiane na kubariki kazi za mikono yetu??? tubadilike jamani, tukishaanza kujibagua wenyewe mnategemea nani atupende?? mtu wa taifa lingine?? hell noooooh!!! Nyerere hakutulea hivyo.

    ReplyDelete
  32. Jamani mmeona maelezo ya chini ya picha ya huko "Multi-million shs Man". Eti amewowa "teenager". The girl she is 19????!! Here in Us the called 'em baby with babies..!!

    ReplyDelete
  33. K-lyine nje ya cover, Kinje ndani ya cover, haya
    naomba kupata nakala jamani hakuna kwa njia ya posta

    ReplyDelete
  34. unajua tatizo sio kubeba maboksi au kuwa meneja au professor au scientist tatizo ni kuwa umefanya nini kwa watanzania wenzako na hasa wazazi na ndugu zako walio-sacrifice ili kuweza kukusomesha wewe? Ndio maana wengi hatuoni difference ya wabeba maboksi na how maprofessa because there is nothing at home to make us proud of you people. Kwanza wabeba maboksi ndo fresh kwasababu wanajua walikotoka. Wewe kukaa huko na kusema tu hubebi maboksi haitusaidii...you need to show it especially to your dear parents that you are not mopping the floors......wazee wanakula vumbi bongo wewe unasema sio mbeba maboksi...sikuelew!

    ReplyDelete
  35. Watanzania hatutokaa tuendelee kazi kuponda tuu. The big argument is 'multi million shilling home' multi million is multi million it doesn't matter in which currency. Kinje kwa standard ya tanzania ni multimillionaire whether you like or not.
    Well done the Bang keep it up! Big up for writting multi million SHILLING instead of multi million dollars, euro or pounds. Endeleza ezalendo lazima tuipende na kuithamini pesa yetu ni moja ya kitambulisho chetu watanzania hata kama thamani yake ni ndogo.
    The Bang ni gazeti la tanzania kuhusu watanzania kwahiyo msitake kuwafananisha matajiri wa Tanzania na Bill Gates acha tuone cribs zilizopo bongo.
    Kama mnaona haifai si mkajenge multi million DOLLARS houses Tanzania watu waone mfano? si mpaka muwe nazo kodi ya nyumba inawapeleka mbio kazi tatu tatu mtalipa taxes mpaka mkome.

    ACHENI KUDHARAU WALIOBAKI NYUMBANI KULIJENGA TAIFA NA HADITHI ZENU ZA UONGO UONGO WOTE TUKO HUKU TUNAELEWA SYSTEM ILIVYO.

    TAJIRI HASEMI MIMI TAJIRI MASIKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA

    ReplyDelete
  36. In short nimependa maelezo ya Ghhhm..Nami kwa ufupi naomba kusema tena na tena Bang! wanahitaji a good editor sio mediocre which makes it a mediocre magazine..Kila nikisoma Bang! nawonder why wasitafute editor wa maana..Nyie two sistaz do something..Hata mie ni editor,I can do it for you for free,call me whenever yu feel you have the final copy mkononi.To begin with do you know that a good editor is that with a detailed eye ukimiss hata nukta anaona...

    Spellin mistakes,bad grammar,horrible punctuation, to mention a few ni machache kati ya mambo nayaona kwenye Bang!

    Ni hayo tuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  37. Jamani kwani kuolewa mtu ukiwa una miaka 19 kuna tatizo? Heri yake aliyeolewa akiwa na umri mdogo kuliko wanaoolewa wakiwa na umri mkubwa wamechoka na maisha..she is matured enough to be a mother and wife especially kwa mtu kama kinje. Waacheni waishi maisha yao kinje has decided to get married let him live his life with his family jamani, hamchoki? Congratulations kinje for choosing a beautiful woman she seems to be a very intelligent girl. Heri yake kuliko waliyokuwa wanakulia pesa zako. Utulie sasa kaka bahati haiji mara mbili.

    ReplyDelete
  38. Sasa hivi ni fashion kwa watanzania kuoa dogoogo...
    kinje na wake naona na juzi lazaro na wake.

    wanaona wasichana wazee wanajua mengii....mhhhhhhh ngoja na mimi ni rudi ni wahi wangu...kwanza nadhani kwa gap hii wangu anatakiwa kuwa darasa la sita sasa hivi.....sijui nitaitwa povety nikianza kumtazama ....tazama ouch....

    ReplyDelete
  39. BANG! ni noma tena sana.Huku Kenya lipo juu tena sana and we Kenyans find it entertaining and well researched.The writers are not bad either ,i can say that coz i work with Nation Media Group.Just a little mistakes here and there.By the way its taking over the market.One such good writer is George Otieno and i wonder why he should be Tanzania when Kenya media is well paying.Watanzania hamtaendelea if u dont appreciate such a great initiative.u cant criticize negatively with stupid and negative remarks.Looks like u have issues with Kinje,the writer or the Bang! management.All this are haters and i would like to assure BANG! that the story was a good piece,indepth and the whole issue was superb.The big argument is 'multi million shilling home' multi million is multi million it doesn't matter in which currency. Kinje kwa standard ya mtanzania ni multimillionaire whether you like or not.
    Well done the Bang crew and keep it up! Big up for writting multi million SHILLING instead of multi million dollars, euro or pounds. Endeleza ezalendo lazima tuipende na kuithamini pesa yetu ni moja ya kitambulisho chetu watanzania hata kama thamani yake ni ndogo.
    The Bang ni gazeti la Africa mashariki kuhusu wakenya,watanzania na waganda kwahiyo msitake kuwafananisha matajiri wa nyumbani na akina Samuel Jackson au Oprah Winfrey na BANG! endeleeni kutuonyesha cribs za mastar zilizopo bongo,Kenya na Uganda.
    Good work BANG!,thanks Kinje and family

    ReplyDelete
  40. BANG! ni bomba mpende msipende.Na wewe Michuuzi sioni kama ulikuwa na nia njema na haya maada.Ulinyimwa kazi BANG! au?kama wewe ni mwandishi mzuri sana mbona haupo CNN?nobody is perfect and BANG! has tried so hard to be there and represent Tanzania regionally and abroad.Its the only East African publication.Thumps up 4 the good and informative stories.We are reading.I like George Otieno's style of writing,its refreshed,new and exciting.I am your fan from Zanzibar.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...