kili staaz wameandika bao la pili kupitia kwa mshabuliaji dan mruanda dakika ya 88 baada ya kuwatoka mabeki wa harambee staaz na kufunga bao tamu sana kuifanya staaz iongoze kwa 2-1.
wakati huo huo mchezaji amiri maftaha anapewa kadi nyekundu kwa mchezo mbaya dhidi ya samwel ochieng dakika hizi za lala salama....
.NA MPIRAAAA UMEKWISHAAAA... MATOKEO NI KILIMANJARO STAAZ 2 NA HARAMBEE STAAZ 1


babu kubwa Mungu ibaliki stars
ReplyDeletesafi sana michuzi!
ReplyDeletehizi habari ni live ndio maana tunaifagilia blog yetu,sasa kilichobaki tunaomba na picha kama unazo maana ni muhimu kweli hasa ukizingatia timu imejaa yoso wenye avarage of 23 yrs huku soka likizidi kukua siku hadi siku.
Mungu ibariki soka ya Tanzania
Mungu ibariki Tanzania.
Si mchezo walau matokeo haya yanatufanya tusahau kipigo tulicho kipata kutoka kwa wamakonde wa Msumbiji! Keep the ball rolling Kili boyz!!! you have done us proud!!!!
ReplyDeleteHongera sana Kilimanjaro stars,
ReplyDeletekwa matokeo ya leo tayari Tanzania imepanda tena kiwango ktk Fifa world ranking,tunatarajia matokeo mengine mazuri zaidi,
kila lakheri Kilimanjaro stars,
kila la kheri Tanzanian football
Haya ndio mambo tunayotaka...sio kusindikiza tu kila mwaka. I hope ni talent tupu ndiyo ilitumika si uchawi wa Simba na Ynga. Mungu ibariki Staaaz!
ReplyDeleteOk... Nimefurahishwa na jinzi unavo-tu-update.... keeep it up Man.
ReplyDeleteHongerazenu Kili staaz... kazi nzuri...GodBlessUsAll
Samahani kuleta hoja hii hapa...
ReplyDeleteHivi ni ukweli mnyoofu kwamba Tz vijana wasomi na wenye uwezo wa kuingiza nguvu mpya ari mpya na kasi mupya katika serikali yetu hawapo??? manake hizi teuzi!!! Mh..
Kila la kheri mwanzo mzuri...
ReplyDeleteTupo pamoja.
Hongra Taifa (Kilimanjaro Stars)...lakini bado chemtemakuni cha Mganda na Mruanda
ReplyDeleteZaidi soma
ReplyDeletehttp://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/7134649.stm
Vijogoo wa Anfield pwaaa mwanawane,yaani pwaa watoto wa Steve Coppel wamewatupia 3-1 tangaza hiyo.But Killi boys huree,it's Mrwandaaaa yeeees! Ebwana imekaa vizuri. Lakini mi naomba kuuliza hivi kwanini Maximo anafundisha Killi stars alihali ye ni kocha wa Taifa stars,inakuwaje? Mashujaa wa Zenji wao hawamtumii au kuna rotesheni?
ReplyDeletewatani wa jadi hoi....miaka ya nyuma ilikuwa kila tukiingia tunachukua bao, hopefully haya yatakuwa maandalizi mazuri kwa world cup qualification matches, kaza buti vijana. Mungu ibariki Taifa Stars
ReplyDeleteHongera kwa kurusha "live" mechi ya Kili Stars. Nakupongeza timu na wadau kwa ushindi wa timu hii.
ReplyDeleteBw Michuzi, pole kwa kipigo cha Liverpool kwa Reading! Huu ni mwanzo wa Benitez kumfuata Mourinho?
Mdau
http://drfaustine.blogspot.com/
Michuzi hii najua iko out of subject lakini naomba tu uwashtue wadau wa ukerewe wamwangalie kijana wetu Francis Cheka ITV4 please
ReplyDeleteMICHUZI!!! MBONA UMETULIA LEO KAMA NYANYA INAYOSUBIRI KUWEKWA KWENYE KACHUMBARI,VIPI LIVERPOOL LEO NDANI YA READING. TOA PIC ZAKO ZA TORES NA KOCHA WAKO CHIZI MDAU WA CHELSEA.
ReplyDeleteVIPI MICHU UMEHAMA CHAMA? NAONA BWAWA LA MAINI WAMETANDIKWA VIBAYA SANA NA READING UNAJIFANYA KAMA HAMNA KITU KIMETOKEA.WAKINUNUA MECHI KAMA ILE YA CHAMPIONS LEAGUE WALIOSHINDA 8-0 UNACHONGA SAAAAANAAAA
ReplyDeleteLIVERPOOL MDEBWEDO
Kwa mnaokumbuka, tuliwahi kuifunga Kenya kwenye fungua dimba Mwanza bao 1-0 halafu tukaishia kufungwa mabao 3-2 kwenye fainali na kombe kwenda Kenya. Kocha wa Kenya alikuwa Jogoo Jacob M. na wa kwetu alikuwa Mkenya mwingine James Siang'a, si zamani sana hii. Kuna tatizo limejionesha kwamba washangiliaji walinuna - hii nini maana yake? Nahisi watu wanakereka na kocha Mbrazili baada ya kumwacha kipa Juma Kaseja. Natabiri tutafungwa na Uganda ama Rwanda na lawama kibao kumwendea kocha, kombe litaondoka.
ReplyDelete