RAIS WA TFF LEODEGAR CHILLA TENGA AMESHINDA KWA KISHINDO NAFASI YA URASI WA SHIRIKISHO LA SOKA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI (CECAFA DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA BAADA YA KUMSHINDA MPINZANI WAKE TOKA ETHIOPIA KWA KURA 8 KATI YA 11 ZILIZOPIGWA. KURA 3 ZILIMKATAA NA HAKUNA ILIYOHARIBIKA. MGOMBEA TOKA SUDAN ALIJITOA KATIKA LISAA LA 11. KWA HIYO SASA TENGA NI RAIS WA TFF NA CECAFA KWA MPIGO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. HONGERENI ALTHOUGH SIELEWI NI KITU GANI MNAONGELEA KATI YA TFF NA CECAFA NI VITU VYA NAMNNA GANI HIVYO

    ReplyDelete
  2. hongera tenga

    ReplyDelete
  3. DAH ....! hongera kwa hilo ili tuzidi kuonesha umakumbusho wetu hadi kwa ndugu zetu watani....tuwaoneshe ni kiasi gani tunaendesha mambo siriasi kwa maneno matupu......!BA

    ReplyDelete
  4. Du Hongera sana Bro.Tenga unaonyesha jinsi ulivyo kichwa, huu si unafiki wala nini ila Bro.Tenga ni kichwa hata nje wanamkubali, fikiria enzi zile za fat na sasa ndio utakubali kuwa Bro.Tenga kweli kichwa.Kama yapo matatizo ni ya kawaida ambayo binadamu anaweza kuyafanya.
    Sasa tumeanza na ushindi tunataka na kikombe kibaki hapa Tanzania, hii ya Bro. Tenga kushinda urais wa cecafa ni changamoto kwa timu zetu za Bara na ile ya visiwani. MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  5. SAMAHANI HIVI WATU HUWA WANAFANYA HALFA KWA MAAANA YA NINI PINDI WAMALIZAPO ELIMU YAO?.....SAMAHANINI LAKINI, kwani huwa wanawaza nini kwenye mbongo zao....Sorry

    ReplyDelete
  6. HONGERA SANA TENGA SASA KAZA MISULI NA WACHA KUVAA MSULI. JITAHIDI UTAKAPO ONDOKA DUNIANI UJULIKANE KAMA SHUJAA WA BOLI. HAKUNA KULALA HATA KAMA HUJALA........

    ReplyDelete
  7. Hengera Sana Tenga kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Cecafa,

    kwa upande wangu namuomba ndugu Tenga Asigeuke Muungu wa Kihindi kuwa na mikono mingi, yaasi asile kila upande yaani,

    tunaomba alitumikie Shirikisho la Cecafa kwa ufanisi kabisa,na awe na mikakati ya kutaka kukuza soka ya Africa mashariki,na isiwe anaendelea kungángánia kuwa raisi wa TFF pia,hilo nadhani atataka kilifanya kuwa la fahari anavyeo viwili,
    lakini suala ni je ataweza kuvitumikia kiilivyo vyeo hinyo?

    anakazi kubwa sana ya kuwa mkombozi wa soka la Africa mashariki kazi ambayo hakuna hata mmoja ambae ameweza kuifanya tokea kuundwa kwa shirikisho hilo miaka kibaooooooo iliyopita yaani,

    Tenga ni mzuri sana kwa vile ameweza kinyanyua Tz muda mchache tu kisoka, kwa hio haraka sana achuku uamuzi au wa cecafa na abakie na cheo kingine cha mshauri mkuu wa TFF.kwenu wadau

    ReplyDelete
  8. watu wengine kama saa zenu za kufirwa hazijafika tafuteni japo magurunzi ya mahindi mjisukumize nayo sasa kama hueliwe kitu gani kinachoongelewa kati ya tff na cecafa kwanini unacomment mkishaanza kufirwa na wazungu inakuwa taabu baki nyumbani usubiri bhasha wako mjinga mkubwa sasa hongera ya nini msenge wee huyo anonymous wa kwanza jinga kweli

    ReplyDelete
  9. hongera ya nini? ni cheo cha kuku bila kichwa...ataiongoza shirikisho la washikiliaji wa mkia!!!

    ReplyDelete
  10. WE ANON WA 4:13:00PM NENDA KWENYE GOOGLE SEARCH NDIYO UTAJUA LEODGAR TENGA, CECAFA NA TFF NI "VITU VYA NAMNA GANI HIVYO".

    HONGERA SANA NDUGU TENGA. UNASTAHILI KABISA.

    ReplyDelete
  11. Kama wewe hapo juu hujui nini maana ya TFF na CECAFA, basi hustahili hata kuelezwa nini maana yake. You must a very uninformed person, and even irresponsible. I can't believe this.

    ReplyDelete
  12. Hivi ilitokea nini hadi mtu mwenye njaa kama Ndolanga akawa kiongozi wa soka Bongo? Hongera Mzee Tenga.

    ReplyDelete
  13. Hongera Tenga, ila sasa uachie hicho kiti cha TFF maana itakuwa conflict of interest

    ReplyDelete
  14. Congratlasiou Tenga.

    ReplyDelete
  15. JAMANI WATU WA MUNGU.
    Mtu kama hajui kitu msimvurumishie matusi.Bhamula bhasu.Kwelii

    Wewe anon ambae hujui maana ya TFF na CECAFA ni kuwa TFF wakati wa serikali ya Nyerere hadi Mkapa iliitwa FFU yaani Fanya Fujo Uone.Sasa wakati huu wa Kikwete inaitwa TFF yaani Tanzania Field Force.Ni kitengo cha kutuliza ghasia ndani ya Jeshi la Polisi.Makao makuu yako Ukonga-Dar.

    CECAFA ni chama cha Siasa Falme za Kiarabu.Kinasemekana ndicho kinatoa mafunzo kwa aliyebomoa majengo ya Twini tawa.
    Sasa jamani huyu Tenga si ni mtanzania????Mmmh marekani wakiisikia hii tutapata shida watanzania. Mshaurini ajiuzuru.
    Bugunda kata ya Bwasi tarafa ya Nyanja wilaya ya "M" mkoa wa kwao na Butiku na wala rushwa wake.

    ReplyDelete
  16. kwanini mnamlaumu jamaa SOKA tanzania imekufa siku nyingi,watu hatufuatilii tena,sasa tutajuaje hivyo vyama. kosa ni la MICHUZI,lazima afafanue kila posting

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...