abiria wa feri ya magogoni kwenda na kutoka kigamboni wakisubiri pantoni huku wakiangalia tv iliyowekwa hapo kuwapasha habari na kuwaburudisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hawasafiri wala nini wanaangalia shootu

    ReplyDelete
  2. That is nice pole pole tutafika tu...Hata hilo banda lao five star angalau unajua kweli nauli yako inakwenda wapi..

    ReplyDelete
  3. Hivi ule usemi unaosemaga "Kashangae feri...." kumbe una ukweli wake hahaha! Leo nimehakikisha kwa hiyo picha kaka Michuzi.

    ReplyDelete
  4. Bongo tambarare nyie wabeba Mabox na wasafishaji vibibi/vibabu vizee... kwa taarifa yenu hata ndani ya Ma-Pantoni kuna Radio tena FM yaaani Uroda kwa Shing 200 tu unapata uroda huo huko kwenu mwaupata huo... BONGO TAAAA-MMBA-RAAAAREEEE>>>> HEEEE....

    ReplyDelete
  5. Jamani jamani wanaangalia TV je Boat yenyewe nzima?
    Au watanadanganya toto na sisi vichwa vyetu ovyoooo tumeshasahau kama boat ni mbovu Mungu tujalie Tanzania yetu AMANI na USALAMA

    Rey

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...