Home
Unlabelled
imarati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bro michuzi vipi sasa kuhusu mshindi wa utabiri wetu wa wana imarati na man u?
ReplyDeleteHiyo mijezi ya njano si muda mrefu mtaitupa,mlikuwa mnaongea sana kuhusu chelsea sasa ndio zamu yenu inaonekana mmesahau ile methali kuwa mwenzako akinyolewa? Pole Michuzi kwa kukosa raha hata mimi nilikuwa hivyo siku za nyuma na sasa tambalale kiaina mdau wa chelsea!
ReplyDeleteBrother Mithupu eeeh hiyo mijethi inaumitha macho. Poleni sana kwa kukosa raha lakini nataka Sunday mpate draw... huku sisi watoto wa stamford bridge tukiendelea kuwakosesha raha hao wanaojifanya wanajua kulitandaza gozi. chelsea...chelsea..chelsea..chelsea...chelsea...chelsea
ReplyDeleteKaka hongera kwa kumpiga yule kibonde nne na kupata nafasi ktk Champions ligi dau lilikuwa linazama mkuu! mdau wa chelsea
ReplyDeleteWewe kaka mithupu usiwe na shaka...mimi nipo na wewe jumapili wakati sisi tukiwachinja Chelsea na kuwaachia nyie m-deal na maini yenu kutoka kwa Manchester....watatukoma hawa jamaa....msimu wetu Arsenal na liverpool
ReplyDelete