wadau wa jangwani wameomba kuiona tena picha hii siku madiba alipotembelea bongo mara tu baada ya kutoka jela

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. sidhani kama wenyewe hapo mbele ya mstari wanajikumbuka, ila mimi nimejiona.

    ReplyDelete
  2. Kaka michu umenikumbusha mbali sanaaa kweli wakati ukuta tumetoka mbali sanaa. Siku hii tulinyeshewa mvua ile mbaya hapo mnazi mmoja.

    hapo aliyeshika bango la De klerk... ni Zamaradi Kawawa

    karibu winnie ni Anna Mbaga

    Amandla ni Jamila Mwanjisi

    wengine Vailet John.. Farida , jamila..

    Make sure hao wanahabari wenzio Zamaradi na Jamila wameipata picha hii..

    thanks alot

    ReplyDelete
  3. Kwani ilikuwa mwaka gani huo?

    ReplyDelete
  4. hey guys kwa wote mliosoma jangwani
    there is a link reunite friends around the world go to;

    www.graduates.com

    you'll find your old friends

    cheers

    if interested you can send mail to my adress rchonde2002@yahoo.com
    i will connect to the link.

    ReplyDelete
  5. jamani amenikumbusha mbali sana, mimi sijaiona ila namuona dada yangu Vera mkenda!! jamani tuliloana!! sitasahau, ila ilikuwa raha sana.

    ReplyDelete
  6. jamani amenikumbusha mbali sana, mimi sijaiona ila namuona dada yangu Vera mkenda!! jamani tuliloana!! sitasahau, ila ilikuwa raha sana.

    ReplyDelete
  7. Ha haa haa!!Zamaradi size zero.. jamila Mwanjisi size 10

    Huo mtoko maalum watu wa hostel enzi ya Tegisa si mchezo!!

    ReplyDelete
  8. Nakumbuka...tena hizo picha alizichora mwalimu isdori.. mchoraji mzuri kweli..ilikuwa mwaka 1989 au 1990?

    ReplyDelete
  9. Picha safi sana,naangalia mavazi wanayovaa wasasa na wa kwenye picha hii tofauti.
    Hawa Sketi zimefunika magoti,ila dada zangu wa sasa pale sketi ziko juu ya magoti.Mkao kwenye dala dala(vipanya) huwa shida kwao.

    Ukiwauliza sababu za kuvaa sketi fupi,wanasema sababu ya Weather(joto)

    Kipindi hiki dar hali ya ubaridi?

    ReplyDelete
  10. Evil thinking!
    Hivi huo mshono wa sketi una maana gani? Hilo pindo hapo mbele kwanini halikwenda juu moja kwa moja?

    ReplyDelete
  11. mbona walikuwa na andamana uhindini!!!au walikuwa na aibu kuandamana kule gongo la mboto!!!

    ReplyDelete
  12. Kaka Michu tupashe ilikuwa mwaka gani? Si vibaya tusiojua tukaelezwa who is/was Madiba.

    ReplyDelete
  13. Wapendwa, kuna mtu yeyeto mwenye habari za Anna Mbagga? Ni miaka mingi toka tuachane Oysterbay Primary School na sijamsikia.

    ReplyDelete
  14. wengi wao wameshakufa kwa ngoma.Wale wa AZA-JANGWA mapenzi mpo?

    ReplyDelete
  15. kwa kweli hata mimi nakumbuka kunyeshewa, halafu mandela mwenyewe tusimuone wengine maana alichelewa sana kuja, tunaokaa mbali na mjini ilipofika jioni ikabidi tuondoke hata bila ya kumuona. looooong time jamani

    ReplyDelete
  16. Yaani wewe anon dec 5 at 8.25 am
    are you kidding me?
    yaani unataka kuniambia humjui Madiba a.k.a Nelson Mandela !!%
    unatia aibu ( mwafrika wa dunia gani wewe)

    ReplyDelete
  17. Hii ilikuwa mwaka 1990 kama sikosei.

    Mi nakumbuka alivyokuja Sisulu, tulikwenda mpaka Nkrumah Hall kumuona.

    Enzi hizo...

    ReplyDelete
  18. Mdau unaemuuliza anna mbaga yuko morogoro kaolewa na librarian wa mzumbe..yupo choka mbayaa tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...