mdau lily majuzi alitembelea bichi ya kusini mwa kigamboni na kuvumbua kumbe kuna bonge la kiota cha mapumziko kama picha hizi alizoleta zinavyoeleza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. nani kasema bongo siyo tambarare?picha yenyewe inajieleza.

    ReplyDelete
  2. nani kasema bongo siyo tambarare?picha yenyewe inajieleza.

    ReplyDelete
  3. nice place eh itabidi nitembelee cku moja tena kwa kipindi hichi cha joto safi sana

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi mbona mazingira ni mazuri sana hayo...Hiyo Kigamboni Kusiniiko maeneo gani...manake tumezoea Mikadi,Sunrise na Kipepeo

    ReplyDelete
  5. duh!kigamboni kusini?????/nieleze MICHU ikosehemu gani hiyo??

    ReplyDelete
  6. Kiota hiki cha Kigamboni Kusini unapita Kipepeo kwenda mbele zaidi. Ila tahadhari pale Ferry siku hizi foleni kwa wenye magari si chini ya saa moja na nusu kusubiri kivuko!

    ReplyDelete
  7. duh aisee MICHU umenikuna sana kwa hizi picha, nimewahi kwenda mahali hapo SI MCHEZO nimepazimia sanaaaa ama kweli BONGO TAMBARARE.......... panaitwa SOUTH BEACH

    ReplyDelete
  8. Waskaji mliofika chumba shing ngapi hapo jamani?
    Nataka kwenda na mzigo. Sasa nisije nikaenda shing elfu 5 nikafikiri kama kwetu kule Kwa Mtogore kumbe hapo ni laki 1. Itakuwa zinga la soo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...